Recent content by Mshaijawange

  1. M

    JF party kesho, mambo iko kule. Usingoje kuhathiisiwa

    Kumbe na sisi wazee wa one pack tunapendwa eehh? Leo nitakuja nimevaa t-shirt nyeusi imeandikwa kifuani "COMING SOON...SIX PACKS"
  2. M

    Daktari wa Ngozi

    Pole sana. Mtafute Prof. Mgonda wa Muhimbili. Anapatikana Regency Hospital J5 na Jmosi. Ratiba yake hospital nyingine siijui.
  3. M

    Wachagga wana Hadi Barabara Zao!! Look.

    Hapo ni Arusha. Kuna hata barabara ya Wapare nk. Mlioko Arusha ebu fungukeni!
  4. M

    Omary Jumanne Salum, mkurugenzi mpya wa SIDO

    Baba Tunde, afadhali umekiri kwamba humjui Mhandisi Omari Bakari. Tunaomjua tunajua kwamba hana weledi wala uwezo wa kuongoza SIDO. Pia wapo waliofanya naye kazi pale COSTECH wamo humu natumaini watajitokeza na kuongea bila woga wala upendeleo. Wenye mamlaka ya uteuzi waache kufanya majaribio na...
  5. M

    Dira ya Mtanzania: Siri yavuja, Migiro kuwa Waziri Mkuu...!

    Kwa kuwa suala hili ni la kikatiba ebu tusome Ibara husika za Katiba yetu. Kwanza tuitazame Ibara ya 51(2) ya Katiba ya JMT: "Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya siku kumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais atamteua Mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika Jimbo la Uchaguzi...
  6. M

    Dira ya Mtanzania: Siri yavuja, Migiro kuwa Waziri Mkuu...!

    Ni Ibara gani hiyo ya Katiba iliyovunjwa? Tuisome Katiba na tusiwe wepesi wa kutunga vitu visivyokuwepo.
  7. M

    Ushauri: Mwanamke kutoa ujauzito kwa vidonge vya Misoprostol na kutokwa damu mfululizo

    Unasikia? Hahaha! Shikamoo King'asti! Kweli kabisa. Mpeleke haraka Marie Stopes. Wamebobea kwenye mambo hayo. Sijui ni lini Tanzania itaruhusu utoaji mimba salama. Wanawake wanahangaika kutoa huko vichochoroni kwa njia za ajabu ajabu. Wengine wamepoteza hata maisha.
  8. M

    Hodi mpaka ndani!

    Nawashukuru sana wakuu.
  9. M

    Ubaguzi wa kikanda waanza kuitesa CCM

    Japokuwa mchango wako bila ya shaka yoyote hautasaidia sana mjadala lakini ni vyema ujikite kwenye mada tafadhali. Ni vyema kujadili masuala kuliko kujadili watu binafsi. Sote tu wahanga wa ukanda, udini na ukabila mnaouhubiri sana wenzetu. Tukemee ubaguzi wa aina yoyote ile.
  10. M

    Kuingia kwenye ndoa ukiwa na miaka chini ya 25 ni sawa na kuoka disko saa 3 usiku

    Mshukuru Mungu. Kumpata mwenzi mwema sio matokeo ya ufundi wako wa kuchagua. Kuna waliochagua kweli kweli lakini ndoa zimegeuka ndoano!
  11. M

    Hodi mpaka ndani!

    Ahsante sana.
  12. M

    Kumbe sina kabila

    Safi sana! Ni vyema usiwe na dini pia kwa sababu hata dini utasikia dini ile ya makafir mara ile ya Al Shabaab mara ile nyingine ya mashoga nk! Makameeee, ushanifahamu?
  13. M

    Mke wangu wa ndoa amenisaliti, ameingiza mwanaume ndani ya nyumba! Nimfanyeje?

    Hahaha! Kiserikali? Hakuna kitu kama hicho mkuu. Labda hiyo ni serikali yako binafsi!
  14. M

    Uke wake unatoa harufu mbaya, Nimuache?

    Ushauri mzuri kwamba usimuache kwani dawa zipo. Ni vyema mwanamke akiwa na tatizo hilo kwenda hospitali daktari ajue tatizo ni nini na apendekeze tiba muafaka. Sio ukisikia harufu kali tu kutoka ukeni unaanza kujidunga dawa ambazo pengine sio za kutibu ugonjwa ulionao. Lakini kama ni harufu ya...
  15. M

    Mama mtu mzima atembea nusu uchi barabarani bila wogo wowote akitafuta wateja wa kuwapa uroda

    Loh! Makubwa. Mwenyewe anaonekana ana-enjoy kisawasawa! Mbona huyo wahuni hawamrukii kutaka kumbaka?
Back
Top Bottom