Ushauri: Mwanamke kutoa ujauzito kwa vidonge vya Misoprostol na kutokwa damu mfululizo

A.K.A.47

Member
Jan 27, 2013
56
6
wana jf habari
mpenz wangu alitoa mimba kwa kutumia vidonge(misoprostol).

Sasa hivi anatokwa na damu none stop takriban one consecutive month.

Naomba kwa yeyote anayefahamu madhara ya muda mfupi/mrefu ya vidonge hivi anijuze ili niweze pia kufaham.

NB: nilimkataza sana asitoe hiyo mimba hadi ilifikia tukashirikisha ndugu,jamaa na marafiki lkn alifanya kwa kificho.

Nawasilisha
 
mwache afe,na wewe ufe kwa kuwa ulishiriki
 
Mpo wapi na huyo mpenzio? tafadhali chukuwa hatua haraka mwezi mzima mtu anatokwa tu na damu! dah kuna watu wanavumilia maumivu mpaka inashangaza
 
even my wife anamenstruate ni 3 week now inanitisha sana sometimes pieces of somesort just like whitish meatlish
 
Kama unampenda kweli mpeleke hospital au la waeleze nduguze au wamsaidie anaweza kufa
 
Mpeleke hospitali. Marie stopes nasikia ndo wataalamu san wa hizi issues?
Unasikia? Hahaha! Shikamoo King'asti! Kweli kabisa. Mpeleke haraka Marie Stopes. Wamebobea kwenye mambo hayo. Sijui ni lini Tanzania itaruhusu utoaji mimba salama. Wanawake wanahangaika kutoa huko vichochoroni kwa njia za ajabu ajabu. Wengine wamepoteza hata maisha.
 
kwanza pole then wewe na girlfriend wako mna hatari kutoka damu mwz mzima ni hatari kwa nini hujampeleka hospital hadi leo.ivyo vidonge kawaida yake damu hutoka kwa wingi cku ya kwanza then itaendelea kupungua cku zinavyozidi kwenda mbele mpaka hata wiki mbili itatoka ila kidogokidogo sana na pia ni hatari km mimba yake ilikuwa ni kubwa ni hatari na wao wanakataza kutumia kwa mimba kubwa.wao wanashauri km ukipata tatizo sio lazima ukienda hospital umwambie dr umetoa mimba ukinywa ivyo vidonge hawezi jua unaweza sema imetoka ila me nahic ukweli ukisema itakuwa rahic kupata utatuzi.
NB.KABLA YA KWENDA HOSPITAL INGIA KWANZA GOOGLE THEN ANDIKA KUTOA MIMBA NA MISOPROSTOL KWA KISWAHILI UTAPATA MAELEZO MAREFU SOMA YOTE YATAKUPA MWANGA JINSI YA KUFANYA.
 
no sikumzingua,prblm iz yuko chuo furan cha ualimu wa shule ya msingi.hofu yake kubwa ilikuwa ni kuwa expelled from school.ijapokuwa nilimwambia elimu haina mwisho atasoma tu ht private but she cudn't undrstand.
 
hizi dawa kwa kweli ni mbaya sana,"thanks"!on the way to hospital now!

Dawa si mbaya ila nyie ndo mnazitumia vibaya...wataalamu hawakuzitengeneza kwaajili ya abortions. .bali kwa kutibu vitu vingine kabisaa...ss kwa taarifa yenu misoprostol imepunguzwa nguvu kwaajili ya misuse yenu..dose mlokua mmeizoea kuinywa ili itoe mimba c hiyo hyo...ndo maana ss hivi wengi zinawatesa
 
kwanza pole then wewe na girlfriend wako mna hatari kutoka damu mwz mzima ni hatari kwa nini hujampeleka hospital hadi leo.ivyo vidonge kawaida yake damu hutoka kwa wingi cku ya kwanza then itaendelea kupungua cku zinavyozidi kwenda mbele mpaka hata wiki mbili itatoka ila kidogokidogo sana na pia ni hatari km mimba yake ilikuwa ni kubwa ni hatari na wao wanakataza kutumia kwa mimba kubwa.wao wanashauri km ukipata tatizo sio lazima ukienda hospital umwambie dr umetoa mimba ukinywa ivyo vidonge hawezi jua unaweza sema imetoka ila me nahic ukweli ukisema itakuwa rahic kupata utatuzi.
NB.KABLA YA KWENDA HOSPITAL INGIA KWANZA GOOGLE THEN ANDIKA KUTOA MIMBA NA MISOPROSTOL KWA KISWAHILI UTAPATA MAELEZO MAREFU SOMA YOTE YATAKUPA MWANGA JINSI YA KUFANYA.

Dunia imefikia huku! !!
 
Hizo dawa mmhh hatariiiii
ukiona kitu kimenasa wahi hosptal tena iliobobea upate tiba lakini hizi njia za panya tunazopita wallah zitatumaliza
 
Ina madhara meng 2 hyo dawa. Kizaz kinaweza kupasuka, pili huyo mwanamke hatoweza kushka mimb tena. Ushaur wng, aend ospt akafanyiwe MVA na pia apewe dawa za kubalance hormones. Ukiweza niPM
 
Mi nilimwacha msichana kwa sababu ya kutoa mimba, kiongozi una moyo mpaka leo upo nae. sababu ya kutoa mimba alisema ni nini? Mara nyingi wanakuwaga wamechanganya madesa.

Kwa uelewa wangu hata siku moja binti huwa haombi wala kulazimisha kutoa mimba. Ila atakulazimisha uende kwao ukakamilishe taratibu, kaa chonjo unaibiwa mkuu A.K.A.47
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom