Ubaguzi wa kikanda waanza kuitesa CCM

Status
Not open for further replies.
Mkuu, tatizo lipo kwa hao wawekezaji wenyewe. Badala ya kuchagua kuweka miradi yao kwenye maeneo wazi, wao wanataka yale ambayo yanakaliwa na wananchi

Nadhani tatizo ni uongozi wetu unaomwona mwekezaji kuwa muhimu kuliko raia wake. Mwekezaji kapata wapi ubavu wa kujichagulia eneo?
 
Jamani, mimi nina swali moja katika hii mada. Tanzania tunajulikana kuwa na ardhi kubwa ingawa matatizo kati ya wakulima na wafugaji serikali imeshindwa kuypatia ufumbuzi. Na kama tuna ardhi kubwa hivi ni kwa nini kila wanjapokuja wawekezaji tunalazimika kuhamisha raia wetu ili mwekezaji apate ardhi? Kwa nini mwekezajia asitafutiwe ardhi huko pembeni asiwabughudhi raia wetu kwenye ardhi yao?

Hawataki ma pori wanataka ambako kumesha andaliwa na wao kuingia tu na kuanza mambo yao .
 
Mkuu, tatizo lipo kwa hao wawekezaji wenyewe. Badala ya kuchagua kuweka miradi yao kwenye maeneo wazi, wao wanataka yale ambayo yanakaliwa na wananchi

Mkuu mbona umeshindwa kuficha ujinga ulokuwa nao? Litakuwaje tatizo la hao wawekezaji wakati anayegawa na mwenye mamlaka ya hayo maeneo ni serikali? Vipi na wewe akili ndio imeshadumaa huna tena uwezo wa kufikiri?

Umejiona eehh ulivyo debe shinda haliachi kuvuma? Umechangia kwa kiasi kikubwa sana kudhoofisha CCM yetu. Watu wa namna yako kwa chama chetu ni virusi vinavyokimaliza chama kwa ushabiki wenu usokuwa na tija.
 
Akihutubia wananchi wa Kongwa wanaogoma kuondolewa kwenye maeneo yao kwa nguvu ili kupisha wawekezaji Job Ndugai ameonyesha dhahiri kuwa kuna kauli za ukanda za kuwabagua wana Kongwa zilizotolewa na aliye kuwa mkuu wa wilaya ambaye ni mmasai.

"... huyo bwana ametoa kauli huku akisahau kuwa naye ni mmasai"

Chanzo: ITV habari.

My take.

Haya ni maumivu ya ubaguzi wa dhahiri kama jinsi chama chake kilivyo kuwa kinaeneza propaganda za ukanda na udini ambazo zinaendelea kulitesa taifa.

CCM ikiwazwa sana na mtu mwenye akili nzuri ataishia kuwaona viongozi na mashabiki wake kama nyinyi kuwa niwa jinga wa kupuuzwa.

kwa nini

Tangu Tanzania ipate uhuru karibu mawaziri wakuu 4 wametokea Kaskazini lakini hili halija wahi kuwa tatizo kwetu watanzania.

1. Edward Moringe

2. Cleopa Msuya

3. Fredrick Sumaye

4. Lowassa (aliyejiuzuru kwa kashfa ya rushwa).

Wakati huohuo, ukiacha takwimu za nyuma kabisa, baraza la mawaziri la kwanza la utawala wa raisi wa sasa (jk) ambapo kauli za ukanda zimeshamiri kwa kasi lilikuwa na manaibu na mawaziri kutoka Kaskazini 21. Wengi kutoka kanda yoyote. lakini bado wakisimama kwenye mimbari za kisiasa utasikia chadema ni chama cha ukanda!

chadema wanachosema kuwa nicha ukanda uongozi wake wa juu kabla ya MM na mzee Said Arfi kujiuzuru ulikuwaje?

1. Mh Mbowe (Mwemyekiti) - Kanda ya Kaskazini, Hai K'Njaro

2. Said Arfi (Aliyekuwa makamu mwenyekiti bara) - Kanda ya Magharibi, Mpanda.

3. Dr Slaa (Katibu) - Kaskazini, Karatu

4. Zitto Kabwe (Naibu katibu) - Kanda ya Magharibi, Kigoma.

Makamu mwenyekiti na Naibu katibu Zanzibar mmoja kanda ya Unguja na mwingine kanda ya Pemba.

Huo ukanda wanao ughani CCM na mashabiki wao wenye ukame wa maono kila siku kuhusu ukanda wa chadema ni upi?

Mbona huwa hawasemi kuwa chadema ni chama cha kanda ya magharibi wakati nafasi za uongozi zina uwiano sawa?!

Angalizo.

Ukisikia watu wa ccm wanaghani ukaskazini jua kuwa hawamaanishi Tanga, Arusha, wala Manyara bali wanaendeleza chuki za kijinga na kipuuzi dhidi ya Wachaga.

CCM wametuletea ugonjwa mbaya wa ubaguzi ambao Mwl Nyerere aliukemea kwa sauti yenye mwagwi mkali.

Mkuu unayoyanena ni ya kweli kabisa japo kwangu mimi yanauma sana kwa kuwa yananigusa katika chama chetu CCM. Unajua hizi siasa za ubaguzi zililetwa na hawa mufilisi wa kisiasa wa pande zote mbili yani upinzani na chama tawala.

Tatizo hapa ni viongozi kutokuwa na upeo wa kiuongozi na badala yake wanaanza siasa za kugawa wananchi. Huwezi kufanya siasa za kugawa wananchi kimakundi halafu ukafanikiwa. Dhambi hii kama watanzania hatutachukua hatua kweli itatutafuna sana kwa ujinga na ulimbukeni wa viongozi wetu wa kisiasa.
 
Mkuu

kama umekiri kuwa haya yana ukweli anzeni kuwakemea na vijana wenu hapa mtandaoni ambao kila kukicha wao wanaongelea ukanda na udini kana kwamba ndio kazi ya kimashambulizi waliyopewa na Lumumba. wao huwa hawana muda wa kubomoa hoja kwa hoja. huvuruga mada kwa kuangalia jina la mletaji baadala ya kuangalia hoja.
 
Akihutubia wananchi wa Kongwa wanaogoma kuondolewa kwenye maeneo yao kwa nguvu ili kupisha wawekezaji Job Ndugai ameonyesha dhahiri kuwa kuna kauli za ukanda za kuwabagua wana Kongwa zilizotolewa na aliye kuwa mkuu wa wilaya ambaye ni mmasai.

"... huyo bwana ametoa kauli huku akisahau kuwa naye ni mmasai"

Chanzo: ITV habari.

My take.

Haya ni maumivu ya ubaguzi wa dhahiri kama jinsi chama chake kilivyo kuwa kinaeneza propaganda za ukanda na udini ambazo zinaendelea kulitesa taifa.

CCM ikiwazwa sana na mtu mwenye akili nzuri ataishia kuwaona viongozi na mashabiki wake kuwa niwa jinga wa kupuuzwa.

kwa nini

Tangu Tanzania ipate uhuru karibu mawaziri wakuu 4 wametokea Kaskazini lakini hili halija wahi kuwa tatizo kwetu watanzania.

1. Edward Moringe

2. Cleopa Msuya

3. Fredrick Sumaye

4. Lowassa (aliyejiuzuru kwa kashfa ya rushwa).

Hao wote ni kutoka kaskazini lakini kwa kuwa shida yetu haikuwa kujadili watu wala maeneo wanayotoka bali uwezo, hakuja wahi kuwa na kelele za ukanda kwa upande wa wananchi.

Wakati huohuo, ukiacha takwimu za nyuma kabisa, baraza la mawaziri la kwanza la utawala wa raisi wa sasa (jk) ambapo kauli za ukanda zimeshamiri kwa kasi lilikuwa na manaibu na mawaziri kutoka Kaskazini 21. Wengi kutoka kanda yoyote. lakini bado wakisimama kwenye mimbari za kisiasa utasikia chadema ni chama cha ukanda!

chadema wanachosema kuwa nicha ukanda uongozi wake wa juu kabla ya MM na mzee Said Arfi kujiuzuru ulikuwaje?

1. Mh Mbowe (Mwemyekiti) - Kanda ya Kaskazini, Hai K'Njaro

2. Said Arfi (Aliyekuwa makamu mwenyekiti bara) - Kanda ya Magharibi, Mpanda.

3. Dr Slaa (Katibu) - Kaskazini, Karatu

4. Zitto Kabwe (Naibu katibu) - Kanda ya Magharibi, Kigoma.

Makamu mwenyekiti na Naibu katibu Zanzibar mmoja kanda ya Unguja na mwingine kanda ya Pemba.

Huo ukanda wanao ughani CCM na mashabiki wao wenye ukame wa maono kila siku kuhusu ukanda wa chadema ni upi?

Mbona huwa hawasemi kuwa chadema ni chama cha kanda ya magharibi wakati nafasi za uongozi zina uwiano sawa?!

Angalizo.

Ukisikia watu wa ccm wanaghani ukaskazini jua kuwa hawamaanishi Tanga, Arusha, wala Manyara bali wanaendeleza chuki za kijinga na kipuuzi dhidi ya Wachaga.

CCM wametuletea ugonjwa mbaya wa ubaguzi ambao Mwl Nyerere aliukemea kwa sauti yenye mwagwi mkali.
Kumbe Zitto Kabwe na Said Arfi bado viongozi wa Chadema.

Ebu tutanijie majina ya wakurugenzi watano wa Chadema tuone wametoka kanda gani.

Halafu tutajie oradha ya wabunge wa viti maalum wa Chadema tuangalie kanda walizotoka.
 
Mkuu

kama umekiri kuwa haya yana ukweli anzeni kuwakemea na vijana wenu hapa mtandaoni ambao kila kukicha wao wanaongelea ukanda na udini kana kwamba ndio kazi ya kimashambulizi waliyopewa na Lumumba. wao huwa hawana muda wa kubomoa hoja kwa hoja. huvuruga mada kwa kuangalia jina la mletaji baadala ya kuangalia hoja.

Mkuu ni kweli kabisa kwa hali ilivyo kwa hawa wenzangu ni ishara tosha kabisa kuwa hawana ukomavu wa kisiasa. Siasa sio uhasama wala vita, bali ni kushindanisha sera na hoja kwa kuhuniri amani na upendo pia. Hakuna haja ya kuendekeza propaganda zisizo na tija kwa taifa letu. Sio lazima kupinga hoja ya mwenzako kwa kubambikiza maneno ya kuligawa taifa.

Kingine mkuu, unajua kitu busara ni mtu unazaliwa nacho na wala sio unaenda kusoma. Ipo siku watatambua kuwa wanatenda makosa na pia watakiri na kusamehewa. Mungi ibariki sana Tanzania.
 
Mkuu, tatizo lipo kwa hao wawekezaji wenyewe. Badala ya kuchagua kuweka miradi yao kwenye maeneo wazi, wao wanataka yale ambayo yanakaliwa na wananchi

One of the most s.t.u.p.id arguments I've ever heard! Kwa kuwa mwekezaji kachagua ardhi basi serikali inalazimika kumpa??? Hivi nyie lumumba buku 7 ni vibwengo au watu wenye uwezo wa kufikiri ila tu mmeamua kutozitumia akili zenu?
 
Mtoi,

Nasikia jina lako limependekezwa kuchukua nafasi ya Tumaini Makene.

Naona ile kitu imesaidia. Hongera sana...
Japokuwa mchango wako bila ya shaka yoyote hautasaidia sana mjadala lakini ni vyema ujikite kwenye mada tafadhali. Ni vyema kujadili masuala kuliko kujadili watu binafsi. Sote tu wahanga wa ukanda, udini na ukabila mnaouhubiri sana wenzetu. Tukemee ubaguzi wa aina yoyote ile.
 
Mkuu mbona umeshindwa kuficha ujinga ulokuwa nao? Litakuwaje tatizo la hao wawekezaji wakati anayegawa na mwenye mamlaka ya hayo maeneo ni serikali? Vipi na wewe akili ndio imeshadumaa huna tena uwezo wa kufikiri?

Umejiona eehh ulivyo debe shinda haliachi kuvuma? Umechangia kwa kiasi kikubwa sana kudhoofisha CCM yetu. Watu wa namna yako kwa chama chetu ni virusi vinavyokimaliza chama kwa ushabiki wenu usokuwa na tija.

Umenena vema, yaani jamaa amenikera kweli kwa upuuzi alioandika hapa! Ina maana wawekezaji ni miungu au serikali inafanya maamuzi kwa maelekezo yao hao wawekezaji? Mbona tunajitukanisha wenyewe?
 
Siku zote ccm hubagua wamasai,ndio maana govt ya ccm huwatengea maeneo ya kufuga na kuishi peke yao!hawana huduma muhimu za kibinadamu
Nenda kawambie Lowassa haya maneno na Ole Sendeka.
 
Kumbe Zitto Kabwe na Said Arfi bado viongozi wa Chadema.

Ebu tutanijie majina ya wakurugenzi watano wa Chadema tuone wametoka kanda gani.

Halafu tutajie oradha ya wabunge wa viti maalum wa Chadema tuangalie kanda walizotoka.

Mkuu.

Tatizo lako umenisoma kwa kudonoa! ungetuliza akili huku unajiuliza hizi propaganda za ukanda na udini mmezianza lini na faida yake ni ipi kwa mustakabali wa taifa letu usingeuliza swali la kijinga kiasi hicho.

Kuhusu wakurugenzi.

1. Peter Kibatalla - mkurugenzi wa sheria na haki za binadamu anatoka Mkoa wa Morogoro, Kanda ya Kati.

2. Benson Kiggaila - mkurugenzi wa mafunzo na usimamizi wa kanda, anatoka mkoa wa Dodoma, Kanda ya Kati.

3. John Mrema - Mkurugenzi wa bunge na halmashauri, anatokea Kilimanjaro, Kanda ya kaskazini.

4. Wilfred Lwekatare - Mkurugenzi wa ulinzi na usalama, anatokea Kagera, Kanda ya ziwa Magharibi.

5. Antony Komu - Mkurugenzi wa utawala na fedha, anatokea Kilimanjaro, kanda ya Kaskazini.

Kwa kurugenzi hizo tano zilizo anza kwa maboresho ya sasa kanda ya Kati na Kaskazini zimetoa uwiano sawa based on weledi na umahiri kwenye kurugenzi husika. Huo ukanda mnao unadi na makuhani wenzio kila siku ni upi?

Nyie mnapo ongelea ukanda huwa mnaongelea Kilimanjaro based on chuki za kijinga dhidi ya watanzania wenzetu wachaga as if hawana uhalali wa kushika nafasi kwenye taasisi hapa nchini kama jinsi makabila mengine yalivyo na uhalali.

Kuhusu wabunge wa viti maalum.

kwa kuwa huwa mkiongelea ukaskazini mnaongelea wachaga.

Kutoka mkoa wa kilimanjaro kuna wachaga watatu wa viti maalumu.

1. Lucy Owenye

2. Grace Kiwelu

3. Suzan Lyimo - huyu pamoja na uchaga wake kapatia viti maalumu mkoa wa DSM alikuwa akifanya kazi chuo kikuu na anahudumu uviti maalumu wake kwa DSM tofauti na hao wawili hapo juu.

Pamoja na hayo, mkoa huo umetoa wabunge wa kuchaguliwa watatu, Mh Mbowe, Ndesamburo, na Josh Selasini.

Mkoa wa Kigoma kwa ndugu yetu katika imani, ametoka mwenyewe kama mbunge wa kuchaguliwa lakini una wabunge wa viti maalumu watatu sawa na Kilimanjaro.

Kigoma viti maalumu kuna Mh Sabrina sungura, Mh Muhonga, na Filipa Mutulanya. Mbona huwa hamlalamiki kuwa Kigoma imependelewa kwa kutoa wabunge watatu wa viti maalumu sawa na Kilimanjaro wakati ina mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa (MM) huku mkijua Kilimanjaro ina wabunge watatu wa kuchaguliwa yaani mara mbili zaidi ya Kigoma?

Mkuu.
Wewe ni kinara na mfuasi wa Propaganda chafu za udini na ukanda kwenye jukwaa hili, anza kujitathimini upya muelekeo wako. Naamini mwanya wa akili yako unaweza kuuziba japo kwa kipande cha mikate unayo pewa kila kukicha.

Asubuhi njema ndugu katika imani.
 
kwa kurugenzi hizo tano zilizo anza kwa maboresho ya sasa kanda ya Kati na Kaskazini zimetoa uwiano sawa based on uweledi na umahiri kwenye kurugenzi husika. Huo ukanda mnao unadi na makuhani wenzio kila siku ni upi?

Nyie mnapo ongelea ukanda huwa mnaongelea Kilimanjaro based on chuki za kijinga dhidi ya watanzania wenzetu wachaga as if hawana uhalali wa kushika nafasi kwenye taasisi hapa nchini.

Kuhusu wabunge wa viti maalum.

kwa kuwa huwa mkiongelea ukaskazini mnaongelea wachaga.

Kutoka mkoa wa kilimanjaro kuna wachaga watatu wa viti maalumu.

1. Lucy Owenye

2. Grace Kiwelu

3. Suzan Lyimo - huyu pamoja na uchaga wake kapatia viti maalumu mkoa wa DSM alikuwa akifanya kazi chuo kikuu na anahudumu uviti maakumu wake kwa DSM tofauti na hao wawili hapo juu.

Pamoja na hayo mkoa huo umetoa wabunge wa kuchahuliwa watatu, Mh Mbowe, Ndesamburo, na Josh Selasini.

Mkoa wa Kigoma kwa ndugu yetu katika imani, ametoka mwenye kama mbunge wa kuchaguliwa lakini una wabunge wa viti maalumu sawa na Kilimanjaro.

Kigoma viti maalumu kuna Mh Sabrina sungura, Mh Muhonga, Filipa Mutulanya. Mbona huwa hamlalamiki kuwa Kigoma imependelewa kwa kutoa wabunge watatu wa viti maalumu sawa na Kilimanjaro wakati ina mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa (MM) Wakati Kilimanjaro ina wabunge watatu wa kuchaguliwa yaani mara mbili zaidi ya Kigoma?

Mkuu.
Wewe ni mfuasi wa Propaganda chafu udini na ukanda kwenye jukwaa hili, anza kujitathimini upya muelekeo wako. Naamini mwanya wa akili yako unaweza kuuziba japo kwa kipande cha mikate unayo pewa.

Asubuhi njema ndugu katika imani.
Wewe juha kweli utaendelea kuwa msukule wa Dr Slaa, hauwezi kutetea ukanda na udini uliyopo Chadema hivi umeishajiuliza kwa nini Said Arfi kajiuzulu Chadema kama siyo udini na ukanda.

Ulivyokuwa kauzu umeona aibu kumtaja John Mnyika Mpare kutoka Kaskazini.

Wewe Chadema ni msukule tu ukitaka kujipima jaribu kugombea nafasi na mchaga uone utakavyofukuzwa kama mbwa.
 
Mkuu.

Tatizo lako umenisoma kwa kudonoa! ungetuliza akili huku unajiuliza hizi propaganda za ukanda na udini mmezianza lini na faida yake ni ipi kwa mustakabali wa taifa letu usingeuliza swali la kijinga kiasi hicho.

Kuhusu wakurugenzi.

1. Peter Kibatalla - mkurugenzi wa sheria na haki za binadamu anatoka Mkoa wa Morogoro, Kanda ya Kati.

2. Benson Kiggaila - mkurugenzi wa mafunzo na usimamizi wa kanda, anatoka mkoa wa Dodoma, Kanda ya Kati.

3. John Mrema - Mkurugenzi wa bunge na halmashauri, anatokea Kilimanjaro, Kanda ya kaskazini.

4. Wilfred Lwekatare - Mkurugenzi wa ulinzi na usalama, anatokea Kagera, Kanda ya ziwa Magharibi.

5. Antony Komu - Mkurugenzi wa utawala na fedha, anatokea Kilimanjaro, kanda ya Kaskazini.

Kwa kurugenzi hizo tano zilizo anza kwa maboresho ya sasa kanda ya Kati na Kaskazini zimetoa uwiano sawa based on weledi na umahiri kwenye kurugenzi husika. Huo ukanda mnao unadi na makuhani wenzio kila siku ni upi?

Nyie mnapo ongelea ukanda huwa mnaongelea Kilimanjaro based on chuki za kijinga dhidi ya watanzania wenzetu wachaga as if hawana uhalali wa kushika nafasi kwenye taasisi hapa nchini kama jinsi makabila mengine yalivyo na uhalali.

Kuhusu wabunge wa viti maalum.

kwa kuwa huwa mkiongelea ukaskazini mnaongelea wachaga.

Kutoka mkoa wa kilimanjaro kuna wachaga watatu wa viti maalumu.

1. Lucy Owenye

2. Grace Kiwelu

3. Suzan Lyimo - huyu pamoja na uchaga wake kapatia viti maalumu mkoa wa DSM alikuwa akifanya kazi chuo kikuu na anahudumu uviti maalumu wake kwa DSM tofauti na hao wawili hapo juu.

Pamoja na hayo, mkoa huo umetoa wabunge wa kuchaguliwa watatu, Mh Mbowe, Ndesamburo, na Josh Selasini.

Mkoa wa Kigoma kwa ndugu yetu katika imani, ametoka mwenyewe kama mbunge wa kuchaguliwa lakini una wabunge wa viti maalumu watatu sawa na Kilimanjaro.

Kigoma viti maalumu kuna Mh Sabrina sungura, Mh Muhonga, na Filipa Mutulanya. Mbona huwa hamlalamiki kuwa Kigoma imependelewa kwa kutoa wabunge watatu wa viti maalumu sawa na Kilimanjaro wakati ina mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa (MM) huku mkijua Kilimanjaro ina wabunge watatu wa kuchaguliwa yaani mara mbili zaidi ya Kigoma?

Mkuu.
Wewe ni kinara na mfuasi wa Propaganda chafu za udini na ukanda kwenye jukwaa hili, anza kujitathimini upya muelekeo wako. Naamini mwanya wa akili yako unaweza kuuziba japo kwa kipande cha mikate unayo pewa kila kukicha.

Asubuhi njema ndugu katika imani.

Asante sana Mohd, you did your home work ila siku zote husipoteze muda kuelimisha mtu muovu hizi ni silaha za maangamizi waache waendelee kuamini kisichokuwepo maana ndio upeo wao wa mwisho.
 
Hivi linaitaji kuwa na elimu ya chuo kikuu kudadavua kuwa Chadema ni chama cha kikanda na udini, hao wakurugezi watano wote ni Wakirsto unadhani ili limekuja kwa bahati mbaya.
 
Mohamedi Mtoi, hivi ilikuaje mtoto wa Ndensamburo na mkwe wake wote wakapewa ubunge?

Ilikuaje mwanamke aliyezaa na Dr.Slaa kutoka CCM na kupewa ubunge?

Ilikuaje dada yake Lissu naye apewe ubunge?

Ilikuaje komu naye apewe ubunge?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom