Inakuwa na wadudu wakati unatoka tumboni meako? Basi wewe mgonjwa ua unapujisaidia pachafu, kutawadha na maiji ni bora zaidi ili hakikisha maji, choo na chombo cha kutawdhia ni safi, ukitawhadha na karatasi kizungu lazima ubaki na uchafu
Mimi ni mtu mzima kiasi shida itakuwa mara mbili eidha wewe unae pepo mchafu anakulegeza au mkeo analo pepo chafu meone mwenye ksrama ayatoe na utafurahia ndoa yako pole sana
Naomba nikupe USHAURI usio na mzaha, kwanza wewe bado kijana mchezo huu utakufanya ukose familia kwa kuwa sio njia ya kawaida y'à mpenzi, pili ni dhambi kwa muumba wetu. Sasa hilo ni pepo baya sana hiyo sio amri yako mtafute mchungaji au kiongozi yoyote wa kiroho akufanyie maombi na wala sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.