Nateseka na punyeto sijui nitaiacha vipi

Nateseka na punyeto sijui nitaiacha vipi

Pully is a great destroyer of mens health, yaan inaharibu kila kona, anzia kisaikolojia, afya yaan mkuu siku si nyingi utaugua mgongo, na kwa sasa lazima wewe unahisi uchovu all the time
Kuna kipindi nilikuwa ninajisikia hivyo lakini siku hizi fresh tuu
 
Dah!! Akakamchezo kanatesa watu.. Alafu ukishapiga hata mwanamke ambaye ulikuwa ufuatilia unaona kama ushalala nae huna hamu nae tena,alafu inaladha Ya kipekee sema ukishamaliza unapata maumivu sana ndio tatizo lake ... Mungu tusaidie
Mimi sipati maumivu maana ninakunywa maji ya kutosha
 
Kuna pastor ana kipindi clouds tv, nadhani jumapili saa mbili hivi. Nilimuona last week anaongelea hizi mambo. Anatoa Huduma ya counseling.

Unahitaji ushauri wa kitaalamu. Unaweza kwenda hospitali pia, nahisi urologist anaweza kukusaidia pa kuanzia. Wewe ni mwerevu sana kwa kutambua una tatizo, kukiri na kutafuta msaada. Hongera
Asante sana
 
Fanya meditation (tahajudi). Kila siku ule muda unataka kulala na wakati umeamka Tu, tenga dakika 5 au 10, kaa utulie na utulize mawazo yako. Ukiwa na uhakika kuwa mawazo yako hayachezichezi tena anza ktutamka sentensi fupi yoyote ile utakayoipenda wewe ambayo ndani yake utaweka nia hiyo ya kuacha punyeto. Mfano waweza Sena "Mimi sina Tabia yoyote mbaya juu ya mwili wangu" rudia sentensi hiyo taratibu ukiwa unamasnisha (,usitumie nguvu yoyote kimwili au kiakili wakati unatamka).

Nilikuwa na tatizo kama lako ila lilikwisha tena kirahisi sana.

NB; matokeo yanategemea na utulivu wako na nia yako ya dhati wakati unameditate. Ukifanya kijingajinga utarudi tena kulialia hapa.
 
Mie nilishindwa kabisa kuacha ila kwenye utawala huu nilijikuta naacha mwenyewe maana hisia zilikata, ukiweka picha ya demu flani kichwani ili uanze kupiga puchu ghafla hiyo picha inabadirika na kuwa kama ya Mzee naniliu.
 
Fanya meditation (tahajudi). Kila siku ule muda unataka kulala na wakati umeamka Tu, tenga dakika 5 au 10, kaa utulie na utulize mawazo yako. Ukiwa na uhakika kuwa mawazo yako hayachezichezi tena anza ktutamka sentensi fupi yoyote ile utakayoipenda wewe ambayo ndani yake utaweka nia hiyo ya kuacha punyeto. Mfano waweza Sena "Mimi sina Tabia yoyote mbaya juu ya mwili wangu" rudia sentensi hiyo taratibu ukiwa unamasnisha (,usitumie nguvu yoyote kimwili au kiakili wakati unatamka).

Nilikuwa na tatizo kama lako ila lilikwisha tena kirahisi sana.

NB; matokeo yanategemea na utulivu wako na nia yako ya dhati wakati unameditate. Ukifanya kijingajinga utarudi tena kulialia hapa.
Asante
 
Dawa ya punyeto ni kupiga bao 5 kwa siku mpaka uume upoteze uwezo hapo utakuwa salama
 
Mimi nilijiunga rasmi Chaputa 2001 mpaka Leo tena nipo fit sana; nione nikupe ushauri jinsi ya kuendelea nayo bila kupata madhara.
 
Sio kitu kibaya wana kitu kigeni hicho, ila tu kwa ushauri wangu punguza pull, maana baadae hata huyo shemeji yetu hata sema poo tena maana kiyu itakuwa lege lege hadi upige na mkono
 
Naomba nikupe USHAURI usio na mzaha, kwanza wewe bado kijana mchezo huu utakufanya ukose familia kwa kuwa sio njia ya kawaida y'à mpenzi, pili ni dhambi kwa muumba wetu. Sasa hilo ni pepo baya sana hiyo sio amri yako mtafute mchungaji au kiongozi yoyote wa kiroho akufanyie maombi na wala sio siku moja Fanta hivyo na usali kwa mwezi mzima MUNGU atakuponya. Madhara:- kama umeoa au Hujaoa utaanza kutafuta dawa za kiboko y'a Paulina mapema sana.
 
Back
Top Bottom