Wakuu Jf,
Tokea Jana mapema Gari la matangazo limekuwa likipita maeneo mbalimbali mini Arusha Kuwait Luna Mkutano utakao fanyika maeneo ya Kilombero karibu na Hospitality ya Levolosi.
Msisitizo wa kufika ni mkubwa kutokana na Ajenda walizokuwa wakisema kwamba watazungumzia.
Ndugu zangu wana Jf,
Nimejaribu kufanya utafiti wa kina kutaka kujua tofauti katika Utendaji wa viongozi wa Kisiasa wa Upinzani na Chama Tawala hasa Wabunge katika Majimbo yao wanayosimamia kuleta Maendeleo kwa Wananchi.
Nimejaribu kujikita katika Mikoa 4 ambao Wabunge wengi ni wa Cdm na...
Haya ndiyo Madhara ya Watumishi wa Mungu kukubali kujiunga na maswala ya Siasa,kwasababu ungekuta huyu Mama Lwakatare hajakubali kuwa Mbunge akaendelea na Huduma ya Mungu haya yooooote yangetokea wapi!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.