Mchungaji aliyekuwa CHADEMA ajiunga cuf muda huu

Kweli Dunia imebadilika, CUF imetokana wapi na wachungaji tena?
 
Muwe mnatoa habari kamili siyo nusunusu...unaelezea majina yake kamili na alikuwa anaongoza dhehebu gani na liko wapi, yeyote anaweza kujiita mchungaji au sheikh si unajua watu wanatafuta pa kutokea? na hivi CUF ilishasahaulika.

Hapo kwenye RED! Ulishawahi kumuuliza MSIGWA hilo swali?
 
Haahaaah chama cha mazuzu Lol.... UDINI na porojo ndio sera zenu

Ha ha ha haaaaaa!Napenda sana siasa za Tanzania, kumbe CHADEMA na nyie mnawaona CUF wadini? Ama kweli Nyani haoni.............!!!!
 
Hongera sana mchungaji kwa kukimbia kutoka kwenye chama cha wachungaji wenzako. Ila umeteleza kidogo tu, ingetakiwa urudi nyumbani CCM. Karibu sana kwetu!!

Yote hiyo zuga tu lipumba anafanya mikutano katumwa na ccm baada ya zitto kukalia kuti kavu sasa mchungaji feki anachukuwa kadi ya cafu toka lini siasa nyepesi lipumba acha mabadiliko yaje.eeeh ukimaliza huko nenda na kigoma sawa eeh!
 
Hongera sana mchungaji kwa kukimbia kutoka kwenye chama cha wachungaji wenzako. Ila umeteleza kidogo tu, ingetakiwa urudi nyumbani CCM. Karibu sana kwetu!!

Bora hakwenda ccm maana angepotea njia.
 
Hapo kwenye RED! Ulishawahi kumuuliza MSIGWA hilo swali?

Hakuna asiyejua kuhusu Msigwa ni the same kwa wachungaji au masheikh wote wanaojiunga kwenye siasa, wanasema mahali walipotoka na majina yako kamili. umeelewa?
 
Hongera sana mchungaji kwa kukimbia kutoka kwenye chama cha wachungaji wenzako. Ila umeteleza kidogo tu, ingetakiwa urudi nyumbani CCM. Karibu sana kwetu!!

Loh! Wewe Rejao ulikuwaga wapi msukule wee? Wenzako bado wanatumika huko lumumba kama kawa!
 
Last edited by a moderator:
sioni ajabu,ila amechemsha sana huko,mpaka afuge ndevu ndo watamkubali
 
Hakuna asiyejua kuhusu Msigwa ni the same kwa wachungaji au masheikh wote wanaojiunga kwenye siasa, wanasema mahali walipotoka na majina yako kamili. umeelewa?

Mimi sijui mkuu wangu, hebu nifahamishe dhehebu la MSIGWA na kanisa lilipo ikiwezekana na idadai ya waumini wake.
 
Hongera sana mchungaji kwa kukimbia kutoka kwenye chama cha wachungaji wenzako. Ila umeteleza kidogo tu, ingetakiwa urudi nyumbani CCM. Karibu sana kwetu!!

wewe gamba saaahivi umeshakuwa mwana cuf? Au ndio ile ndoa yenu ya kipemba?
 
Muwe mnatoa habari kamili siyo nusunusu...unaelezea majina yake kamili na alikuwa anaongoza dhehebu gani na liko wapi, yeyote anaweza kujiita mchungaji au sheikh si unajua watu wanatafuta pa kutokea? na hivi CUF ilishasahaulika.

Ni sawa na kusema MKULIMA ajiunga na CUF. Huyo jamaa kazi yake ni kuchunga mifugo na hajui lolote kuhusiana na mambo ya dini zenu. Hakuna mwenye akili timamu, hata kama anajifunza siasa anayeweza kujiunga na chama mfu kama CUF, TLP, TADEA.
 
MaCCM hayo hayo, hakuna aliye chini ya jua anaweza kuNdoka cdm kwa kuwa ndiyo chama mbadala kwa watanzania Waliopigika
 
kama mpaka wachungaji wanahama chadema sijui nani atabaki huko chadema.
 
Back
Top Bottom