Recent content by Msela Baharia

  1. Msela Baharia

    JamiiForums Tanzania Kumbe Kuna Hadi Kodi ya basata kwenye biashara aina ya pub?

    Mwambie kwenye pub yake awe anaweka miziki ya mbele tu
  2. Msela Baharia

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaiomba Marekani kuiondolea vikwazo vya Viza

    Who are you?
  3. Msela Baharia

    JamiiForums Tanzania Kijana msomi aliyerudi kijijini afanye nini ili aheshimike?

    Utaitwa gaidi muda sio mrefu
  4. Msela Baharia

    JamiiForums Tanzania Haya mahisa na maUTT yenu Kuna vilio vinakuja, watu hawataamini

    Ww utakua shoga, kuna uzi kule juu ulisema wanawake wote lazima wawe na michepuko na ukajitolea mfano ww kwamba umemsaliti mumeo mara 2 sijui huko sasahv unasema una manii. Nyie ndo dudubaya anawatafuta
  5. Msela Baharia

    JamiiForums Tanzania Nina Milioni 3 ni bora ninunue hisa za CRDB au niende Chalinze nikanunue kiwanja?

    Hyo 3M ukinunua hisa za crdb kwa bei ya 2700 unapata around 1100 shares, ambapo kwa sasa gawio kwa share ni tsh 90. Means gawio lako la mwaka litakua 1100 x 90 ambayo ni elfu 99 bila kutoa 5% ya kodi ya zuio. Sasa akili kichwani kwako
  6. Msela Baharia

    JamiiForums Tanzania Nina Milioni 3 ni bora ninunue hisa za CRDB au niende Chalinze nikanunue kiwanja?

    Kama huna chanzo cha kuaminika cha mapato bora ufanye biashara achana na mambo hayo mengine
  7. Msela Baharia

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kula mnyama ama wadudu gani Hadi ukajisemea nilikuwa wapi siku zote hizo? Nimekula wanyama wengi sana.

    Nikifa MkeWangu Asiolewe mnyama anayechimba mashimo mengi porini anaitwa muhanga
  8. Msela Baharia

    JamiiForums Tanzania Bingwa wa World Cup 2026 ni Uingereza. Three Lions

    Wakwenu alipangwa na Uzbekistan, Congo na Colombia jasho likamtoka kudadek
  9. Msela Baharia

    JamiiForums Tanzania Mtanisamehe kwa hili

    Utoto raha sana
  10. Msela Baharia

    JamiiForums Tanzania Aibu nyingine inatokea usiku wa leo

    Ronaldo alipangiwa Uzbekistan,Congo na Colombia na kashindwa kutoboa mtu wa kwanza. Yaan wao ndo walibebwa balaa
  11. Msela Baharia

    JamiiForums Tanzania 'Kiboko ya wachawi' anatutukana sana watanzania

    Mwengine yupo kawe pale anauza udongo na mafuta, wajinga Acha wapigwe tu
  12. Msela Baharia

    JamiiForums Tanzania Mama wakumbuke Wenje, Mchungaji Peter Msigwa na Jerry Muro

    Chawa hao
  13. Msela Baharia

    JamiiForums Tanzania KERO Hakuna Taasisi yenye huduma mbovu kwa wateja kama UTT AMIS

    Customer care yao mbovu sana hata ukipiga simu hawapokei
Back
Top Bottom