Mfano mmojawapo ni mimi nachukia gari binafsi japo uwezo wa kununua ninao.Siyo kila mtu kipaombele chake ni kumiliki gari ...mbona watu wanapanda ndege na siyo ndege zao ..siyo kila mtu anayo afya ya kuendesha gari .. wengine uwezo wao wa kuona umefifia hivyo umuhimu wa kuwa na gari umepotea vinginevyo wawe na dereva (usumbufu na gharama zisizo na msingi ) usafiri wa daladala ukiboreshwa na kuwa standard ni bora mara 100 ya gari binafsi ...
Ungesema serikali ipige marufuku hivi vigari vidogo (mkopo) kwenye barabara kubwa ili kuondoa follen ningekuunga mkono. Ujerumani taifa lililoendelea ila wananchi wengi wanatumia usafiri wa umma.Badala ya kutusema sisi,iambie SIRIKALI yenu iboreshe usafiri wa umma ili kupunguza uchafuzi wa hali ya hewa na mifoleni isiyo na kichwa wala miguu!
Sahihi,Kuna jamaa anamagari ila anaogopa kuendesha na Wala hajui!Siyo kila mtu kipaombele chake ni kumiliki gari ...mbona watu wanapanda ndege na siyo ndege zao ..siyo kila mtu anayo afya ya kuendesha gari .. wengine uwezo wao wa kuona umefifia hivyo umuhimu wa kuwa na gari umepotea vinginevyo wawe na dereva (usumbufu na gharama zisizo na msingi ) usafiri wa daladala ukiboreshwa na kuwa standard ni bora mara 100 ya gari binafsi ...
Maneno Yako ni kichekesho,ila Yana ujumbe wa Kweli!Mfano mmojawapo ni mimi nachukia gari binafsi japo uwezo wa kununua ninao.
Watanzania walio wengi elimu ya uchumi imewapitia kushoto mtu anaenda kukopa gari kwa manufaa ya kutia kishoka tu na aonekane matawi ya juu ila hasara anazopata ni nyingi ukilinganisha na faida.
Unakuta mtu ananunua gari halafu kimshahara chote kinaisha kwenye kununua mafuta ya gari.
Ndio maana wahindi kwa vile ni watu wa mahesabu wanapanga karibu na kariakoo ili kuepuka hizi gharama akiamka anatembea kwa miguu tu kwenda kazini kwake.
Na kuna wabongo wachache wenye mahesabu hata akinunua gari anatembea nayo umbali mfupi anaipaki kisha anadandia mwendokasi inamsogeza kazini kwake jioni akimaliza kazi anachukua mwendokasi anashuka anapanda gari yake inamsogeza nyumbani kwake kwa hiyo gari haiwezi kumfilisi maana anaitumia kimahesabu tofauti na mtu ambaye anaendesha gari yake kutokea Bunju au Chanika hadi Posta mtu huyu atakuwa anateketeza zaidi ya laki 6 kwa mwezi kwenye mafuta tu.
Kwa hiyo hapo unaona haujaniunga mkono?Ungesema serikali ipige marufuku hivi vigari vidogo (mkopo) kwenye barabara kubwa ili kuondoa follen ningekuunga mkono. Ujerumani taifa lililoendelea ila wananchi wengi wanatumia usafiri wa umma.
Kwani what's wrong with that?Daah! Hivyo Mkuu we ulipanda dalada for fun hapo hapo gari ya shem ilikuwa mbovu hapo hapo tena hukutaka kupanda uber hapo hapo mwanaume unakosaje M6. Lol
🤔
Ushauri wangu kwako,Kwa hizi Hoja zako ,Sasa umekuja,Hama Kwa shemeji!,Sema sawa .Kwani what's wrong with that?
Yes, nikifanya for fun maana uber naimudu vizuri tuu si kutaka na sikuwa nawahi sana niendako
Umekua!Ushauri wangu kwako,Kwa hizi Hoja zako ,Sasa umekuja,Hama Kwa shemeji!,Sema sawa .
Hujasoma pote? Kasema gari la shemeji yake liliharibika.Unakuta huyu ana Corolla chafu toleo la 1980 halafu na yeye anadharau tusio na magari
Do you think people like to be in public transports? Ulisha mwona mtu maarufu au tuseme mtumishi mkubwa wa serekali hata mbunge tu au mfanya biashara mkubwa anahangaika na usafiri wa umma?Siyo kila mtu kipaombele chake ni kumiliki gari ...mbona watu wanapanda ndege na siyo ndege zao ..siyo kila mtu anayo afya ya kuendesha gari .. wengine uwezo wao wa kuona umefifia hivyo umuhimu wa kuwa na gari umepotea vinginevyo wawe na dereva (usumbufu na gharama zisizo na msingi ) usafiri wa daladala ukiboreshwa na kuwa standard ni bora mara 100 ya gari binafsi ...
Kwani SGR na ndege siyo usafiri wa umma? Mbona sgr na ndege sikuizi wanagombea kabisa kupanda ....kilichokosekana kwenye daladala ni usasa tu ...tumia akili kujifunza kwa usafiri wa treni Tanzania...hadi mashirika ya ndege yana hofia kufirisika kwa sababu ya sgr ya kisasa ...pia kuhusu matajiri kuto kupanda usafiri ...wakati mwingine ni usalama wao mfano mawaziri wabunge wanaofia usalama wao kujichanganya sana na raia ni hatati kwaoDo you think people like to be in public transports? Ulisha mwona mtu maarufu au tuseme mtumishi mkubwa wa serekali hata mbunge tu au mfanya biashara mkubwa anahangaika na usafiri wa umma?
Hebu wacheni kujifariji. Hata hao wazee wanaendeshwa bwana
Hii ndo sababu wengi hawatoki.Vijana tunakosea sana kuyachukulia maisha kiwepesi.
Kwanza kabisa napinga vikali hoja ya kwamba kuajiriwa ni utumwa. Kuajiriwa ni fursa. Haiwezekani kila mtu ajiajiri, sio kila mtu anayataka mateso ya kujiajiri. Waajiriwa pia ni wazalishaji, kuna taasisi inaweza kusimama bila waajiriwa? Ni vibaya kutaka maisha ya kawaida?
Elewa kwamba maisha ya mtu ni mjumuiko wa hali mbalimbali anazopitia toka utotoni. Mtu kazaliwa kaya masikini, hajasoma na hana ajira ya kudumu, unadhani atamiliki gari kirahisi? Unamlazimisha ajiwekee kipaumbele cha kumiliki gari badala ya vitu vingine vya msingi?
Tukikuzodoa kwanini huna ndege ya $60m kama Elon Musk ambaye baba yake alimiliki migodi utaona ni sawa?
"Meritocracy" ni kipande tu cha ukweli kuhusu maisha. Maisha yana mengi mno.
kama mvua haijawahi kukunyeshea uwezi jua umuhimu wa mwavuli tunafanya kazi usiku na mchana siyo kwamba ni wavivu ila bahat badoPengine hapa tulipo tumefika baada ya kujitahidi kwa kadri ya uwezo wetu.
Hatuna Elimu kubwa, wala ujuzi mkubwa , hatuna bahat ya kuzaliwa familia bora , tumezaliwa Kijijin huko kwenye shida kibao na ziko hadi leo na pia hatujafanikiwa kupata connection hadi leo.,
Kaz tunafanya kwa Bidii ila malipo hayakidhi kusave kununua hata kiwanja. Achilia mbali kujenga.
Mzigo wa Pango la nyumba , kulea familia na kusaidia wazaz na ndugu zetu wasiojiweza unatuelemea.
Hatunywi bia, sio malaya na wala hatufanyi starehe.
Bali Maisha ndivyo Yalivyo, na hatujakata tamaa . Tunaendelea kupambana.