Recent content by Msaranga

  1. Msaranga

    JamiiForums Tanzania Kurasini: Vijana wanakinga mafuta yaliyobaki kwenye Malori ni hatari

    Ni Mara nyingi Mimi asubuhi hupita Mandela road kuelekea kibaruani huku kurasini sasa kwenye foleni kuna malori ya mafuta yakielekea bandarini kuchukua mafuta sasa kuna vijana wanakinga mafuta yaliyobaki sasa kwa mfano petroli ni mafuta hatari sana Na ni rahisi kusababisha mlipuko madhalani...
  2. Msaranga

    JamiiForums Tanzania Kima cha chini cha Mshaara wa MANTRAC Tanzania Group

    engineer level
  3. Msaranga

    JamiiForums Tanzania Ushauri fao la kujitoa NSSF

    Duh yaani wee acha tuu tunatiana umasikini hivi hivi
  4. Msaranga

    JamiiForums Tanzania Ushauri fao la kujitoa NSSF

    Wadau, Mimi nimefanya kazi miaka 12 nikaamua kuacha kazi nikiwa na biashara zangu ndogo ndogo nikajua kiasia nilichonacho NSSF around 60milioni ingeniwezesha kupanua biashara zangu na kwenda mkoani kuwekeza kwenye kilimo. Cha ajabu nimekaa miezi sita nilivyofuatilia FAO lakujitoa NSSF...
  5. Msaranga

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima amshukia Mrisho Gambo, amtuhumu kuleta Siasa kwenye Msiba

    acha uongo mimi nilikuwepo watu walimshangilia sana Gwajima
  6. Msaranga

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kuaga Mwili wa Marehemu Philemon Ndesamburo

    Rip Mzee wetu kweli watu walikupenda sana na uliwasaidia sana bila kubagua mungu akupe raha ya milele
  7. Msaranga

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima yuko njiani anaelekea msiba wa Ndesamburo, Moshi

    Asante kwa taarifa
  8. Msaranga

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu, Lema mwisho wake 2020

    Pole Sana Arusha wanajielewa Sana lema ni mbunge wa maisha
  9. Msaranga

    JamiiForums Tanzania Anayewajua vizuri Radar Recruitment

    Radar wapo vizuri Sana nawakubali mimi wamenipatia kazi ya maana
  10. Msaranga

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni chama kikubwa lakini hakina mipango makini

    Shame on you
  11. Msaranga

    JamiiForums Tanzania NI WIZARA GANI ZILIZOKWISHA HAMIA DODOMA?

    Tetemeko la Bukoba limesababisha uhamaji kuchelewa
  12. Msaranga

    JamiiForums Tanzania TANESCO Vs Mgao wa Umma Tz

    Huku kimara mbona kila cku wanakata umeme naona Kuna kamgao
  13. Msaranga

    JamiiForums Tanzania Mbowe ulipofikia lazima uachane na siasa za ushindani; Hausafishiki!

    Mbowe ni jembe letu acha ukibaraka na kujipendekeza
  14. Msaranga

    JamiiForums Tanzania Mbowe ulipofikia lazima uachane na siasa za ushindani; Hausafishiki!

    Shame on you haya ni mambo binafsi hayana uhusiano nachama mboe ni jembe
  15. Msaranga

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

    Kesho vipi hakuna mapumnziko
Back
Top Bottom