Anayewajua vizuri Radar Recruitment

B

Brigadia

Member
Joined
Nov 8, 2016
Messages
44
Likes
17
Points
15
Age
88
B

Brigadia

Member
Joined Nov 8, 2016
44 17 15
Hivi hawa wanaojiita Radar Recruitment huwa wanaajiri kweli? Nilienda ofisini kwao mikocheni kuwapelekea CV wakasema hawapokei CV mkononi. Wakasema niweke online, nikaenda nikaweka na kujisajiri kabisa. Nikaanza kuwa naaply kazi zao wanazotangaza, nimeaply zaidi ya kazi 100 lakini sijabahatika kuitwa enterview hata moja.
Link yao hii hapa Radar Recruitment, one of East Africa's leading recruitment agencies: Home
Anayewajua vizuri au ambaye alishawahi kupata kazi kupitia wao naomba anisaidie kwa ufafanuzi kidogo hawa jamaa wakoje na wanahitaji nini hasa.
Je ni recruitment agency ipi iko efficient zaidi maana nyingi naona kama ni za wababaishaji.
 
Lavan Island

Lavan Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2015
Messages
1,578
Likes
1,015
Points
280
Lavan Island

Lavan Island

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2015
1,578 1,015 280
recruitement ya watu wa aina gani wenye profesional gani sasa?ma dereva wa malori,saloon cars,crane operators,etc kama hawaja advertise hivyo ujue ni wezi tu hao.
 
Alure

Alure

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2014
Messages
1,109
Likes
974
Points
280
Alure

Alure

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2014
1,109 974 280
Hao jamaa asilimia kubwa uwa hawachukui vilaza....
 
Mookiesbad98

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2015
Messages
1,393
Likes
897
Points
280
Mookiesbad98

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2015
1,393 897 280
Wanauza kazi hapo. Radar ya mwanzo ilikiwa nzuri wengi walioondoka radar wakaanzisha kampuni inaitwa Empower wako msasani lutheran opp ccbrt hao ni wazuri. Lakini radar wana ubaguzi sana haswa kwa waliosoma nje ya nchi na mambo ya kujuana sana hapo usisumbuke nao
 
B

Brigadia

Member
Joined
Nov 8, 2016
Messages
44
Likes
17
Points
15
Age
88
B

Brigadia

Member
Joined Nov 8, 2016
44 17 15
Wanauza kazi hapo. Radar ya mwanzo ilikiwa nzuri wengi walioondoka radar wakaanzisha kampuni inaitwa Empower wako msasani lutheran opp ccbrt hao ni wazuri. Lakini radar wana ubaguzi sana haswa kwa waliosoma nje ya nchi na mambo ya kujuana sana hapo usisumbuke nao
Asante sana mkuu. Ndo maana nimehangaika nao bila mafanikio. Empower wapo msasani maeneo gani?
 
Mookiesbad98

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2015
Messages
1,393
Likes
897
Points
280
Mookiesbad98

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2015
1,393 897 280
Hapo Lutheran wamejenga jengo LA ghorofa linatazamana na ccbrt fika pale uliza na pia unaweza uka register free online www.empower.co.tz ujiandae na elfu kumi ya kumaintain database yao. Wakikuita ila hawana longolongo.

Radar zamani walikuwa wa ukweli ukiomba kazi kama statoil au heineken unajibiwa nenda radar lakini utakavyonyanyaswa na wale wahindi pale radar kumbe mwisho wa siku walikuwa wanuza kazi. Angalia wafanyakazi wengi waliokuwa radar utakuta ni former academic, DIS , learn IT , small kenyan colleges yaani ni watu aina fulani hivi na ndio wanaunganishiwa wanakuwa ma HR consultant wa kampuni kubwa kama FNB
 
C

Chwaka

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Messages
201
Likes
10
Points
35
C

Chwaka

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2014
201 10 35
Wanauza kazi hapo. Radar ya mwanzo ilikiwa nzuri wengi walioondoka radar wakaanzisha kampuni inaitwa Empower wako msasani lutheran opp ccbrt hao ni wazuri. Lakini radar wana ubaguzi sana haswa kwa waliosoma nje ya nchi na mambo ya kujuana sana hapo usisumbuke nao
Hao empower wameacha kale katabia ka kutoza tsh 10000 ya registration??? Naona kama na wao ni chenga tu maana kuna jamaa angu aliomba junior position kaitwa kene interview senior position alipowaulizi vipi akaambiwa ni kweli hii nafasi haukuhusu alilipa tshs 10000 kama registration fees et ikitokea nafasi anayofit watamuita, mpaka leo kimyaaa buku ten wamekulaa, angalizo tu msitoe pesa jamaniii, ilinichukua miaka 2 kuanza kuitwa na radar na hiyo ni baada ya cv yangu na profile yangu kene portal yao kuonesha tayar nina experience ya miaka 2, ila kwa sasa pia naona kama wameishiwa kimtindoo.
 
B

Brigadia

Member
Joined
Nov 8, 2016
Messages
44
Likes
17
Points
15
Age
88
B

Brigadia

Member
Joined Nov 8, 2016
44 17 15
Hapo Lutheran wamejenga jengo LA ghorofa linatazamana na ccbrt fika pale uliza na pia unaweza uka register free online www.empower.co.tz ujiandae na elfu kumi ya kumaintain database yao. Wakikuita ila hawana longolongo.

Radar zamani walikuwa wa ukweli ukiomba kazi kama statoil au heineken unajibiwa nenda radar lakini utakavyonyanyaswa na wale wahindi pale radar kumbe mwisho wa siku walikuwa wanuza kazi. Angalia wafanyakazi wengi waliokuwa radar utakuta ni former academic, DIS , learn IT , small kenyan colleges yaani ni watu aina fulani hivi na ndio wanaunganishiwa wanakuwa ma HR consultant wa kampuni kubwa kama FNB
Asante mkuu. Nitatembelea office za empower
 
Rickboy

Rickboy

Senior Member
Joined
May 4, 2014
Messages
123
Likes
65
Points
45
Rickboy

Rickboy

Senior Member
Joined May 4, 2014
123 65 45
Empower are the best, register online...apply kaz utaitwa...wapo Msasani Hall floor ya 4 opp na CCBRT...so professional.
 
yello masai

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Messages
2,105
Likes
1,546
Points
280
Age
49
yello masai

yello masai

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2016
2,105 1,546 280
Empower are the best, register online...apply kaz utaitwa...wapo Msasani Hall floor ya 4 opp na CCBRT...so professional.
Hivi mkuu empower wanapokea CV mkononi? Maana naona nafanya registration inagoma. Wanasema wanatuma activation link lakini haiji. Nimejaribu kwa email mbili tofauti lakini wapi.
 
neoo

neoo

Member
Joined
Jun 24, 2013
Messages
56
Likes
3
Points
15
neoo

neoo

Member
Joined Jun 24, 2013
56 3 15
Nilifanya nao interview flani ivi kwa njia ya simu! wiki3 zilizopita, kwa upande wangu naona wako poa tu... ukiwa na qualifications wanazotaka.
 
Mediocrist

Mediocrist

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Messages
1,632
Likes
616
Points
280
Mediocrist

Mediocrist

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2015
1,632 616 280
Nilifanya nao interview flani ivi kwa njia ya simu! wiki3 zilizopita, kwa upande wangu naona wako poa tu... ukiwa na qualifications wanazotaka.
Interview kwa njia ya simu ndo ilikuaje mkuu naomba unieleweshe samahani lakini mkuu!
 
Rickboy

Rickboy

Senior Member
Joined
May 4, 2014
Messages
123
Likes
65
Points
45
Rickboy

Rickboy

Senior Member
Joined May 4, 2014
123 65 45
Hivi mkuu empower wanapokea CV mkononi? Maana naona nafanya registration inagoma. Wanasema wanatuma activation link lakini haiji. Nimejaribu kwa email mbili tofauti lakini wapi.
Sidhani kama wanapokea CV mkononi...una_upload kwenye profile yako online...naku_pm namba ya mtu wa Empower atakupa msaada zaidi.
 
The Great Emanuel

The Great Emanuel

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Messages
2,036
Likes
2,786
Points
280
The Great Emanuel

The Great Emanuel

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2015
2,036 2,786 280
Empower will be closed until Monday 2nd January so that we can come back rested & revived and set to serve you better in 2017....
 
Mathenge

Mathenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Messages
758
Likes
301
Points
80
Age
46
Mathenge

Mathenge

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2013
758 301 80
Nami ngoja nitie mguu nijarbu Bahati yangu
 
Forum statistics

Threads 1,273,309
Members 490,351
Posts 30,477,674