Kima cha chini cha Mshaara wa MANTRAC Tanzania Group

Kima cha chini cha Mshaara wa MANTRAC Tanzania Group

Eduin

Senior Member
Joined
May 15, 2014
Posts
189
Reaction score
136
jiran, nimeitwa na awa jamaa kwa usaili ila sijajua wanaanza na wanaishia na ngapi sio vbaya kama utanitonya,
kitengo ni mechanic technician. asante.
 
kama ni diploma salary yao sio chini ya laki 8 na kuendelea inadepend na experience yako
 
Hao jamaa wanalipaga vizuri sana..mkuu ukipata shikilia.nafasi
 
Pazuri pakujifunza kazi sio kutafuta maisha njaaa kali Mimi nimeanzia kazi pale napajua mwanzo mwisho
 
ninaweza sema ni moja ya makampuni mazuri sana kufanya nayo kazi ukiwa unatoka shule na hauna experience,,, kwa kifupi as a mechanical technician utajifunza vitu vingi sana vya kisasa ambavyo naweza sema EAST AFRICA hapa hakuna mahali unapoweza kujifunza,, tumia miaka miwili pale mpaka mitano ukijituma na kuelewa kila kitu baada ya hapo you will earn a lot of money nje au ndani ya tanzania... kiukweli jamaa wanafanya kazi kwa international standard maana wako monitored na CATERPILLAR INC USA... " THERE IS THE TIME TO LEARN AND THERE IS A TIME TO EARN..."" ukizingatia huu msemo basi utakuja kuwa tajiri baadaye kupitia taaluma yako..

Nenda kafanye kazi mahali hapo utayajua mengi ya dunia kwenye field yako ukiwa hapo mahali,, pia utafungua milango ya kwenda kufanya kazi mining ndani na nje ya nchi maana utakuwa very competent,,,, NI HAYO TU MKUU NENDA KAPAMBANA...
 
watu wengi waliosoma engineering walioanzia kazi mantrac nao wajua wana maisha mazuri sana baada ya kujua kazi za engineering pale mantrac zinakwendaje..
 
ninaweza sema ni moja ya makampuni mazuri sana kufanya nayo kazi ukiwa unatoka shule na hauna experience,,, kwa kifupi as a mechanical technician utajifunza vitu vingi sana vya kisasa ambavyo naweza sema EAST AFRICA hapa hakuna mahali unapoweza kujifunza,, tumia miaka miwili pale mpaka mitano ukijituma na kuelewa kila kitu baada ya hapo you will earn a lot of money nje au ndani ya tanzania... kiukweli jamaa wanafanya kazi kwa international standard maana wako monitored na CATERPILLAR INC USA... " THERE IS THE TIME TO LEARN AND THERE IS A TIME TO EARN..."" ukizingatia huu msemo basi utakuja kuwa tajiri baadaye kupitia taaluma yako..

Nenda kafanye kazi mahali hapo utayajua mengi ya dunia kwenye field yako ukiwa hapo mahali,, pia utafungua milango ya kwenda kufanya kazi mining ndani na nje ya nchi maana utakuwa very competent,,,, NI HAYO TU MKUU NENDA KAPAMBANA...

electrical techinicians wapo pale??
 
electrical techinicians wapo pale??

Electric technicians wapo pale na huwa wanaajiriwa..
labda kwa ushauri pia, kama wewe ni electric technician au engineer na bado mchanga au ndio unatoka shule, direction ili utoboe maisha siku za usoni japokuwa wanasema maisha hayana formula bali nakupa njia ambayo itakufanya usisumbuke na maisha baadaye;; MINING AU OIL AND GAS ZIWE NDIO VISON ZAKO.. MINING HAKIKISHA UNAKUWA FUNDI UMEME MZURI WA RIGS HAPO UTAKUWA UMEFUNGUA MILANGO YA KUFANYA KAZI INTERNATIONAL, OIL AND GAS PIA JITAHIDI UINGIE KWENYE ROV au RIG KIUJUMLA,, UKISHINDWA VYOTE HIVYO JITAHIDI UWE FUNDI UMEME MZURI SANA KWENYE ELECTRIC POWER GENERATION ESPECIALLY UWE COMPETENT KWENYE MAGENERATOR MAKUBWA NA MARINE GENERATORS..

ZINGATIA;; THERE IS THE TIME TO LEARN AND THERE IS THE TIME TO EARN.. usifikirie mshahara mkubwa
kwa sasa bali fikiria kujifunza sana uelewe kazi jipe muda..
 
Back
Top Bottom