Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,536
- 2,187
Kiukweli uko miaka ya nyuma palikuwa na nini? Kwanini kwenye ukame kama huu tena Miami hatujasikia mgao wa umeme kama kipindi kile Waziri akiwa Mh. Ngeleja?
Je, Ni kweli huu mgao ulikuwa unatengenezwa ili wafanyabiashara wauze majenereta na mafuta yao mazito?
Je,Ni kweli Prof. Muhongo amekuwa dawa ya mgao wa umeme Tanzania?
Je, Ni kweli watu au watumishi wa TANESCO walikuwa wanalihujumu hili shirika?
Kama ni kweli hawa watu walikuwa wanatengeneza migao ya makusudi, mpaka sasa wamechukuliwa hatua gani?