Recent content by Msalia

  1. M

    Bima ya NHIF hailipii kliniki kwa mama mjamzito?

    Sio Kira private hospital utatumia NHIF
  2. M

    Wakazi wa Geita: Mdau gani yuko huku tule bata

    Kununua nini sasa maana Hata mm Mgeni na mji huu ila Niko hapa Karibu na CRDB bank
  3. M

    Nakuja Masasi Mtwara sina pa kufikia

    Gest Zipo kibao Kwani lazima ufikie kwa mtu
  4. M

    Uko wapi Mheshimiwa Spika Job Ndugai? We miss you!

    Yuko likizo kwao Huko mvumi
  5. M

    Swali shirikishi: Je, zile milioni 50 kila kijiji alizoahidi Rais Magufuli na Serikali yake zimeshaanza kutolewa?

    Kwa sisi wana ccm tumeshapata Wew kama hujapata bc ujue kijiji hakikutambui Kumbe naota
  6. M

    Baada ya watumishi kuahidiwa kupandishiwa madaraja na mishahara, CHADEMA matumbo joto!

    Watumishi wa chama Cha mapinduzi Sio Watumishi sisi mwezi uliopita tumeongozewa 1000 Sasa Hii Story ni utumbo tu
  7. M

    Katika safari yangu, nilichokiona maeneo ya Pwani kinasikitisha

    Kitu kimoja unatakiwa kujua a Kabla ya kutoa hoja au kulau ukanda wa Pwani Saiz Sio msimu wake wakilimo Usikiurupuke tu nakulaum Wew
  8. M

    Nimeanza mwaka natongozwa sana hadi naogopa

    Nilicho ngundua Hapa nikwamba Wew umri umeshaenda na bado hujaolewa sasa unajaribu kushawishi watu wakuone
  9. M

    Serikali itoe fedha kwa kila mwanafunzi kwa ajili ya chakula cha mchana

    Bilioni 278 napoint kadhaa kira mwezi halmashauri zipewa kwa ajili ya Elimu
  10. M

    Naomba ushauri HR ananitaka kimapenzi

    Ushauri wa nini sasa acha ushamba Wew Majibu unayo mwenyewe Mada zingine Sijuwi munatoa wapi
  11. M

    Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

    Niko Elia D karibu na soko la mwanjerwa pembeni ya mkuu wamkoa wa Rukwa Au pitia kisarawe unatokea tunduma
  12. M

    AU yamjia juu Trump kwa 'kauli chafu' dhidi ya nchi za Africa

    AU ipi Hiyo maana Kama nihii ninayo ifahmu Mimi ya wachumia tumbo haiwezi kutoa tamko zaid ya unafiki aliyekua na nguvu zakukemea Trump Alikua Mgabe tu
Back
Top Bottom