Naomba ushauri HR ananitaka kimapenzi

Naomba ushauri HR ananitaka kimapenzi

takukuru (PCCB) wanashughulikia hiyo ishu. ongea nao watakusaidia kabla hujapoteza kazi
 
Itakuwa huyo HR mumewe hawezi kupiga mashine vizuri ndio maana anatafuta damu changa. Mkwepe kwa kila hali maana huwezi jua wangapi wameshapita kwake, na afya yake ikoje.
 
Ushauri wa nini sasa acha ushamba Wew
Majibu unayo mwenyewe
Mada zingine Sijuwi munatoa wapi
 
kampime kama hana ukimwi MPE dudu kwani kuwa na 50+ na yy hisia bado anazo alafu moyo wake ndio umekudondokea wewe......usimhukum eti atakuwa amegembea na wangap ? ukiona anatafunika tafuna ata yy amemiss dam changa anatamani apelekeshwe mchakamchaka kibabu chake home sukari imemtafuna.
 
Hiyo ya kujua kapita na wangapi haidhuru maana haina makombo, cha msingi mpige paipu!
Watu bwana, eti kaliwa na wangapi,
Pengine na umri wake hata wanaume 20 hafiki, wakati kuna akina Gigy under 18 hawakumbuki hata idadi.
 
Mkubalie halafu panga sehemu ya kukutana.
ila kabla ya kukutana mrekodi sauti kama mara kadhaa kisha ihifadhi sehemu salama ili isije kutokea.
panga kukutana nae sehemu ambayo siyo ya wazi sana ili nafasi ya kumrekodi ipatikane.
andaa gues/hotel/au sehemu ya kukutania kufanya vile vitu,hakikisha unapatafuta mwenyewe
fanya mpango wa kutega camera ndani na nje weka mtu atakae kurekodi kwa siri sana mkiingia eneo hilo.
muache awe wa kwanza kuvua nguo baada ya hapo mwambie kila kitu kuwa umeweka watu wamewafuatilia na amerekodiwa hivyo utaenda takukuru na kuwaonyesha video zote na kama atakusumbua au kukutisha mwambie video hizo utasambaza kazini,kwa familia yake na mpaka mitandaoni ili liwalo na liwe.
Yote hayo ya nini mkuu, kama hataki kula mzigo aache kazi, mbona sisi wanaume tunawalazimisha mabinti watupe uchi kazini na wanatupa au wanaamua kuacha kazi?
Ingekua ametongozwa amle mama ndio apewe kazi asingekuja hapa, sema yupo kazini ndio analeta jeuri
 
Simama katika imani yako mkuu
 
Gegeda faster kabla hajamwanga ugali wako.
Ukikikunyakunya hakirudii tena mpaka anastafu kazi
 
Afya yako ni muhimu zaidi...
Halafu mwauame unategemeaje chanzo kimoja cha pesa? mbona wajiwekea limit kama kwamba umefunga pingu za maisha na hiyo ajira?
Poor u...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom