Nakuja Masasi Mtwara sina pa kufikia

Nakuja Masasi Mtwara sina pa kufikia

baba bora

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
1,500
Reaction score
1,096
Kwa taarifa nilizopata tutafika Masasi saa tano usiku.
Naomba kuuliza usalama maeneo hayo kwa muda huo.
Pia gharama za malazi.

Ahsanteni
 
Luna amani tu hamna vibaka na utalala salama bila shaka mm ni mwenyeji wa hapa
 
Pa kufikia ni hela yako tu, hata ufike saa saba za usiku teksi zipo, bajaji zipo utapelekwa gesti bila shida
 
Back
Top Bottom