Recent content by msakhara

  1. msakhara

    Mfumuko wa bei ya magari Tanzania

    Habari zenu wakuu... Nimekua nikiperuzi websites maarufu kwa mauzo ya magari kutoka Japan yaani SBT na Be Forward... Naona gari zimekuwa na bei kubwa sana ukicompare na kipindi kifupi kilichopita. Yaani hizi ndogo mf. Allex, IST, Honda Fit, nk zote zinachezea kuanzia 17M hadi 22M wakati...
  2. msakhara

    Bei ya kitanda Cha mninga?

    Wapi hapo kinauzwa hivyo?
  3. msakhara

    Kusomesha mtoto mpaka ajitegemee ni 20 years. Kama huna Assets Usijiingize gharama mapema ukashindwa kufanya maendeleo mengine kama ujenzi

    Ukiwa na uwezo ndugu, unapeleka tu hata ISM, or cambridge(kila mtu anawish hivyo)... ila kama wewe ni mfanyakazi wa halmashauri, unawatoto wa 4, unapambana kuwapeleka EM wote, unashindia mihogo...then goodluck
  4. msakhara

    Kusomesha mtoto mpaka ajitegemee ni 20 years. Kama huna Assets Usijiingize gharama mapema ukashindwa kufanya maendeleo mengine kama ujenzi

    Na haiishii hapo, tunakutana nao tena kwenye interview, tunawaungisha tera tena dadek 😄 🤣. Mungu hakunyimi vyote...
  5. msakhara

    Kusomesha mtoto mpaka ajitegemee ni 20 years. Kama huna Assets Usijiingize gharama mapema ukashindwa kufanya maendeleo mengine kama ujenzi

    Elimu ni bure(shule za serikali). Hiyo 60% umeitaka mwenyewe. Ila kwa walioamua kuipa serikali mzigo, wamewapeleka watoto kayumba. Miaka 15 ijayo, wanakutana pale psrs interview, na wanaajiriwa same salary 😄
  6. msakhara

    Tetesi: Daktari Magreth aliyejiua inadaiwa ni kwasababu ya mchumba wake kukataliwa kwao

    Wenye Msingi mzuri ndio wanajiua? Yaani msingi mzuri akafikiria kujimaliza ndio kusolve tatizo 😄. Hakuna msingi hapo
  7. msakhara

    Tetesi: Daktari Magreth aliyejiua inadaiwa ni kwasababu ya mchumba wake kukataliwa kwao

    Mnamlaumu mzazi bure tu. Huyo ni mtu mzima, kasoma hadi masters, tena ya medical, maamuzi aliyoyafanya ni yeye....na huyo jamaa aliyemuacha atatafuta pisi nyingine, anaendelea kutembeza mshedede
  8. msakhara

    SGR inahujumiwa kwa maslahi ya nani?

    Wanafanyaje? Maana kinahitajika kitambulisho kununua tiketi na wakati wa kupanda. Na hela unalipia lwa control number. Hii ya kununua kwa mtu inakuaje?
  9. msakhara

    Nafikiria kuachana na mke wangu

    Tafuta mtoto hata sehemu nyingine bro. Ingekua wewe husimamishi, hiyo miaka mi5 asinge kaa hapo. Kama unajiamini uko fit, tafuta kwingine. Wakati unaendelea kumtibu. Ikishindikana basi.
  10. msakhara

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nyingi tu...ni utaratibu wa kawaida, mwaka jana sisi tulipigiwa baada ya wiki 3 tukaanza. Kuna dada alipata nursing , alipigiwa baada ya miezi mi4. Na kazi ya private alikua ashaacha...akafulia kinyama
  11. msakhara

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Yaani kuitwa kuanza kazi napo kazi, unasubiri hiyo simu haipigwi...😄. Huo uhakiki wanapekua nini sijui, miezi miwili. Kama unakazi nyingine, usiache immediately ukiona jina kwenye mkeka, utafuria mpaka sio vizuri.
  12. msakhara

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ilikua ni ya kada gani? Na mmefanya kikanda au dodoma?
  13. msakhara

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Shukran, ila Nilidandia kwa pembeni boss, Wale wa instrumentation walio fanya tarehe 31 June written interview wanafanya oral kikanda ama Dodoma?
  14. msakhara

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wameandika kikanda bro..hakuna oral ya kimkoa
Back
Top Bottom