Bei ya kitanda Cha mninga?

Bei ya kitanda Cha mninga?

Hivi kwanini Keko kuna matapeli wa kutosha kwenye hili eneo la biashara ya samani? Nisaidie nipate waaminifu. Huku mitaani wengi hawana mashine/vifaa vya kiasa, hivyo finishing zao zinakuwa za viwango vya chini hata kama mbao zitakuwa Mninga.
Nisha pata jamaa anachonga kwa 600000
 
Tafuta mtu Tabora,utatengeneza kwa 700k,plus usafirishaji inaweza kuwa 800K
 
Back
Top Bottom