Recent content by msakapesa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Help for webmin Configuration

    Habari ya kazi wadau. mimi kuna software moja ya kumanage website inaitwa webmin. inafanya kazi kwenye linux environment sasa nataka nitumie kwenye window environment.. shida ni kama ifuatavyo kwa jinsi ya kuinstall webmin yenyewe.. maana ni mtihani
  2. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu

    nakuunga Mkono kaka shankal, ila ushauri wangu mie angaweza kufanya biashara mbadala ya uzalishaji kwa mtaji wake huo huo. kama ifuatavyo 1. biashara ya kuuza barafu eneo/ Soko: wauza maji wote walipo kando kando ya barabara, mama lishe na majirani wengine ambao hawana mafrihi ya kupozea maji...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sh 5,000 inaweza kabisa kunitoa kimaisha!

    unaijua KK au unakurupuka amu au ndo unachangia.KK ni kiboko maana vijiko 5 vya ubwabwa vinakoleza maji lita30 ni kiboko ya chumvi..
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbwa Rottweiler wa Kike for Sale $2000

    kwanza kitaa enzi zetu jibwa koko linatoa ulimi nje mda wotee.. fyuuuu nyingine timu dog escrow
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vicoba ni mradi wa kweli?!

    ndugu yangu Tabby riba ya 10% inaanzia miezi 6 hadi 12.. vikoba ni mkombozi kwa wasomi ambao hawajapata ajira. mie ni shuhuda wa hili jambo nilikuwa kapuku kila siku nalalamika gemu gumu lakini haa nashukuru sasa namiliki biashara..
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta mwekezaji kama wafanyavyo Kariakoo

    Habari wadau wa ujasiliamali. Mimi nina eneo hapa dsm ( Bunju ) lilikuwa shamba, sasa mzee kalipa katika30*30, shida yangu natafuta mtu ambaye atakayeingia mkataba kati yetu na sisi ajenge nyumba iwe apartment apangishe then tunahesabiana miaka kadha.... Je watu kama hawa nawapataje akwa yeyote...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ndogo ndogo zinachangamoto kubwa

    hata ukimpa 10% ya faida bado anaiba c utakuwa unapata30%-50% hadi unajuta kufanya biashara
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata kitabu mtandaoni

    andika download jina la kitabu, jina la mwandishi na mwaka wa kuchapishwa na mwisho aina ya file unayoitaka. mfano download escrow, kamati ya bunge 2014.pdf
  9. M

    JamiiForums Tanzania Muziki kama Pesa: Iga Akili ya Diamond, Usiige ubongo wa 20%

    mie nimejfunza kuhusu mafanikio kama wewe.. hapo kwenye muzik( dimond) nimeweka kazi zangu za mikono.. swali kwa mtoa mada au hoja mimi ntapataje meneja kama mimi ni mtengeneza majiko ya kupia?? na meneja anahitaji malipo??
  10. M

    JamiiForums Tanzania Anatafuta ukumbi, mapambo, video,Keki na mpishi wa chakula kwa ajili ya harusi yake

    kongosho karibu kwa ushauri
  11. M

    JamiiForums Tanzania Anatafuta ukumbi, mapambo, video,Keki na mpishi wa chakula kwa ajili ya harusi yake

    habari wana jamvi la biashara. mie ni mjasiliamali mdogo ninaomba msaada kwenye yafuatayo 1. ukumbi wa sherehe 2. mtu wa mapambo anayepamba vizuri kwa bei nafuu 3. mtu wa chakula, kwa bei nafuu na chakula kizuri, 4. keki na mtu wa video na still picture, nipo dar es salaam, harusi ni mwezi wa...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu bestman

    hapana kuhusu unene au wembamba. Je ni kigezo gani nitumie ili niweze kumpata bestman mzuri, mfano, je bestman wangu ni lazima awe rafiki yangu, tuwe tunaendana umri, au awe na tofauti kubwa kiumri kati yangu mwanandoa mpya na yeye au inakuwaje katika mila na desturi( kabila liwe sawa??) je kuna...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu bestman

    Habari wanajamvi. mie natarajia kufunga ndoa mwezi wa 10 mwaka huu, sasa naomba ushauri wa kumpata bestman, msimamizi wa ndoa yangu aweje awe na sifa zipi, maana even ukiwa kanisani wapo watu ambao wanafake relationship kati ya mume na mkewe lakini maisha ya ndani ni vurugu mwanzo mwisho, naomba...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mashine ya kuchanganya juice

    kko. zinaanzia lak8
  15. M

    JamiiForums Tanzania Taa ya Solar Wakawaka

    weka picha kaka
Back
Top Bottom