Anatafuta ukumbi, mapambo, video,Keki na mpishi wa chakula kwa ajili ya harusi yake

msakapesa

Member
Sep 19, 2013
26
17
habari wana jamvi la biashara. mie ni mjasiliamali mdogo ninaomba msaada kwenye yafuatayo
1. ukumbi wa sherehe
2. mtu wa mapambo anayepamba vizuri kwa bei nafuu
3. mtu wa chakula, kwa bei nafuu na chakula kizuri,
4. keki na mtu wa video na still picture,

nipo dar es salaam, harusi ni mwezi wa september 2014 na Mungu akipenda ntafungia hapahapa mjini.

kwa ushauri na jinsi ya kunipata ni pm au niandikie msakapesa@gmail.com au simu number 0715805600 au 0716612441. n
 
hizo huduma zote nafanya best karibu ila nimekutumia email nenda kacheki best

Kwa mahitaji ya
 
Back
Top Bottom