Recent content by Msai

  1. Msai

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Sheikh Manzi wa msikiti wa Mwinyimkuu afariki dunia

    Munngu amsamehe makosa yake amin
  2. Msai

    JamiiForums Tanzania Galaxy Note 1 Mpya Inauzwa

    Weka bei
  3. Msai

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinahitajika

    Mbagala kongowe
  4. Msai

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinahitajika

    Kipo KONGOWE karibu kwa pinda ni pm
  5. Msai

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA GARI NDOGO KWA GHARAMA YA 3.5Ml

    Wasikutishe pita mule wanapolaza magari au nenda kaongee Na wakubwa WA action mart utapata
  6. Msai

    JamiiForums Tanzania Bajaj na Piki piki za mikopo..

    Huo sio mkopo Na hauna faida Na mlala hoi hapo washakuuzia Na faida juu Na RIBA juu Na wewe utapata hasara kubwa ya kupoteza muda nk
  7. Msai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anawashwa sana

    Mimi namtafuta huyo ila akubali kuwa WA 4
  8. Msai

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    Mimi Nina passport ya East Africa je naweza safiria kwenda msumbiji ?
  9. Msai

    JamiiForums Tanzania Akaunti ya dola

    Ndugu zangu wanajaii nimekuja kwenu kwa heshima zote kwa kuwa nyinyi ni wajuzi wa hili ninalotaka kuuliza ndugu zangu ipi fauda ya kuwa Na akaunti ya dola? Na je mtu mwenye kipato Kidogo Kama laki TATU hivi ndio mshahara wake kwa mwezi anaweza kuwa Na akaunti hiyo?
  10. Msai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

    Samahani ngoja niku ulize una mume /ume olewa? Kama huna ni pm
  11. Msai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki yangu huyu:

    Waulize makampuni ya simu watakwambia alipo Kama anatumia simu au tangaza maredioni wataku taftia
  12. Msai

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Wizi kwa unaempa lift

    Wapeni lift ila waambieni kwamba nitakushusha kituo cha police alafu uone
  13. Msai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo usiyoyafahamu kuhusu biashara ya ngono kwenye mitaa na guest house za Manzese

    Hawataki kuolewa nanyinyi wanaume pia hamtaki kuoa watabaki Na biashara hiyo mpaka ukimwi uwamalize
  14. Msai

    JamiiForums Tanzania Nikiua boda boda nisiulizwe wala kulaumiwa

    Nawaombeni wote mlochangia Na wenye magari muweke leseni zenu Na vyeti vyenu vya uderva kisha tuone uhalali wa maneno yenu kisha tuingalie sheria
  15. Msai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uume hausimami nyumbani

    Usijali mambo madogo hayo nione upate tiba .kama unataka nitumie email yako
Back
Top Bottom