kuna kaharufu cha utapeli hapa
Fekon ni 1,700,000 jumlisha asilimia 15 ni 1,955,000 ukitoa deposit ya laki tano balance ina baki 1,455,000 ambayo unatakiwa kulipa ndani ya miezi 24Mkuu, nahitaji moja lakini naomba funguka zaidi ni namna gani nitapata huo mkopo na nikilipa 82000 Mara 24 inazidi 1700000! Na hiyo laki 5 ya dep nikimaliza kulipa deni narudishiwa?
Private secondary ndio wawezaMimi nafanya private sec.nna account crdb.je naweza kupata?
Nipe namba yako nikueleweshe mkuu
Wanatoa Sanlag kibao cha mbuizi kwa shilingi 1700000 ambapo utadeposite 500,000 kwanza hivyo kama ukilipa na riba ya 20% ya 2040000 ambapo kila mwezi utapaswa kupeleka 82000 kwa miezi 24 utakuwa unemaliza deni.
nipo tanga ntaweza kupata mkopo huo
tanga barabar ya ngapi?
jf tanga unaijua?
Kifupi mleta mada hajui biashara, unapaswa kuweka tangazo lako wazi iwezekanavyo ili kupunguza idadi ya maswali toka kwa watu.
hapana siijui nifahamishe zaidi