(THE COMMISSION FOR MEDIATION AND ARBITRATION)
....Ni Taasisi iliyoanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Taasisi za kazi Namba 7/2004 kwa mujibu wa kifungu cha 12 cha Sheria husika.
Taasisi hii ni idara huru ya Serikali na katika kutekeleza majukumu yake au kazi zake haifungamani au haipo chini ya...
Da! kweli watu tofauti mwanangu mie anakula mpaka anasema shiba! sa hivi ana mwaka mmoja na miezi nane(8) ana kilo 17 na bado ananyonya bado miezi 4 aache,na anakula hachagui chakula wala aina ya matunda liwe tango, chungwa, embe, papai twende,Kitu cha msingi kwako asiwe na ratiba ya peke yake...
Bado hiyo thread ni utata, "
Jaydee aliwasili mahakamani hapo akiwa na mumewe Gadner G. Habash mishale ya saa 6 mchana na kuongoza moja kwa moja chumba cha makarani wa mahakama hiyo ambao aliwakabidhi hati ya mashitaka hayo".
Sasa swali linakuja yeye kafunguliwa kesi then yeye mwenyewe...
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo! No research no right to speak! Akili za kuambiwa changanya na za kwako! Ugali ndio chakula kikuu kwa sehemu kubwa ya Tanzania iwe wakati wa njaa au wakati mwingine wowote,Mleta mada inawezekana kalishwa sana ugali tu tangu akiwa mdogo bila mchanganyiko wa vyakula...
"Najua, kwa mtu halisi kabisa, Ikulu ni mzigo! Hupakimbilii! Si mahali pa kupakimbilia hata kidogo; huwezi kupakimbilia Ikulu. Unapakimbilia kwenda kutafuta nini? Ni mgogoro; ni mzigo mkubwa kabisa! Ukipita barabarani, unakuta watu wana njaa, unaona ni mzigo wako huo. Pazito pale! Huwezi...
uvumilivu usiokuwa na mwisho ni mateso,manyanyaso na kuonewa, kama kweli kwa mtazamo wako hiyo tabia imekuwa ikijirudia mara kwa mara na kiukweli kama ndio hivyo kutoka moyoni mwako hakuna haja ya kuendelea kumvumilia mtu wa namna hiyo,yeye kuwa wa kwanza kwako sio kigezo cha kuvumilia...
acheni mambo yenu ya ajabu, mada imeletwa kuhusu wimbo hayo mengine yanatoka wapi? Hizo choko choko hazijengi, tujadili msingi wa kitu kilichokuwa posted, hayo mengine hayatusaidii kwa sasa.
"kituo cha radio cha cluods FM kilimpa promotion kijana aliendika matusi na "bongo flavour"katika mtihani wake wa kidato cha nne mwaka jana kwa kumfanyia interview hatua hiyo ya Clouds FM imechangia uandikaji wa matusi kwa watahaniwa wa mwaka huu" Ukiangalia kwa undani lina ukweli hili...
Suala la pesa ya kusafirishia mizigo pamoja na familia sahau kabisa kwani hata ukiomba pia hautalipwa hii ni kwa mujibu wa mabadiliko ya Kanuni za kudumu za utumishi wa umma(2009) ambazo zimefanyiwa marekebisho 2011 tarehe 03 Mwezi 11 Tangazo la Serikali namba 104 (GN 104)Kifungu cha 5.Its final...
Kaazi kweli kweli...,!usipende kusikia ya kuambiwa, mbona si wengine piece tu na maisha yanaendelea. 39 na unajisifia kabisa?pls seek sychological advise immediately..
Si kila anayekuomba msaada anataka mahusiano kwa nini mnakuwa na positive answers?Inawezekana huyo shemeji yako kweli ana shida na hiyo pesa pengine ana tatizo labda kwa upande wa familia yake na mumewe hayupo katika nafasi ya kumsaidia though kuna magari na anafanya kazi serikalini pamoja na...
Pole sana aisee Maisha ya ndoa yana changamoto sana ila ndio hivyo ni sehemu ya maisha na ipo,ukiingia pazuri amani ikitokea tofauti ndio kama hivyo,yote hayo ni changamoto tu za maisha.
Humu kuna watu wanakujibu mambo ya msingi na wengine wanaleta utani suala hili kwa upande wako ni kama vile...
Suala lako ni mgogoro wa kikazi ambapo masuala yote ya kikazi sehemu ya kupelekwa ni Tume ya Usuluhishi na Uamuzi au wanaita kwa kingereza Commision for Mediation and Arbitration kifupi "CMA", na njia ya kufikisha shauri hilo ni kwa kujaza fomu maalum ambayo inapatikana katika ofisi za vyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.