VIDEO: Roma Mkatoliki na hamasa za kisiasa.

VIDEO: Roma Mkatoliki na hamasa za kisiasa.

IGP USITUME KIKOSI ILI UISHUSHE CHADEMA,WATANZANIA TUNA WOGA SIO AMANI MNGADANGANYWA,LEO RIZWANI HAFANANI NA MAKONGORO,UCHAFU WA MRISHO UNAFANYA MSAFI AONEKANE BENJA,ZITTO AKIROGA KASULU SI TUNAMLOGEA PANGANI,TANGA MMEKOSA NINI?baadhi ya lines za roma.
 
chuki kwa kanisa katoliki haijaanza leo ndo maana kuna wazushi kibao na wanaongezeka kila uchwao!hata akibadili jina hawataacha chuki zao.
acheni mambo yenu ya ajabu, mada imeletwa kuhusu wimbo hayo mengine yanatoka wapi? Hizo choko choko hazijengi, tujadili msingi wa kitu kilichokuwa posted, hayo mengine hayatusaidii kwa sasa.
 
Kama anapenda apate mashabiki wote hasa hapa bongo mwambieni abadilishe jina maana hilo jina kwa wazee wa ubwabwa linaashiria mfumo dhahania wanaouchukia zaidi ya shetwani

Mkuu hao wazee wa ubwabwa hawana madhara; Endapo nyama zimedoda kwenye mabucha yao kwa sababu uwezo wao wa ki-uchumi ni Questionable, je watakuwa tayari kusikiliza na kutoa hata elfu tano kununua CD ya huyo mwanaharakati?
 
ushauri wangu kama kwrli mtu unamkubali roma na kuthamini kazi yake, basi usiwe kama mafisadi kwa kudownlod huu wimbo, changia kazi yake kwa kutuma elf tatu kwenye number iliyotajwa hapo juu, hapo itaonesha jinsi gani tumeikubali kazi yake na siyo kutla maneno mengi kumsifu bila kumpa support azid kufanya kazi nzur, kudownload bila kulipia ni kuiba kazi ya msanii...

Dah!ila kweli mkuu,umenena vyema
 
Mimi nupenda wimbo wote ila my favorite part ni kale ka kipande anaposema ZOMEA TANESCO! watu OOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!
 
Back
Top Bottom