Dah, wapendwa,
Mi natafuta wimbo wa Lovy Longomba, nafikiri unaitwa Amina (Sina hakika Na JINA LAKE). Ubeti mmoja unaimbwa "...kuchota maji pipa tanooo kutoka mtoniii, fikiri nitaweza vipii". Na kibwagizo kinaimbwa ".... Amina kipenzi changu Mimi sitaweza, agizo la wazazi wako linaniwia...