CHURA: JKT Taarab walitisha sana enzi hizo !

Dah, wadau mmenikumbusha mbali sana, yaani nimezipakua nyimbo zote ambazo dotworld ametupia, thanks alot, tunaendelea kusubir nyimbo zingine
 
daaaah so far back away nmekumbuka,shukrani mkuu dotworld kwa link yenye kumbukumbu,burudani maridhawa na radha mujarabuh,imebidi nizipakuwe zote uku ndovu ikichuruzika!!
 
Shukrani sana mkuu Dotworld kwa nyimbo tamu. Ila kama unao ule unaitwa Rabi usinipe mapenzi wa watu wa mombasa nauomba kwa hisani yako
 
Last edited by a moderator:
Habari mpendwa,

za kupotea?

ni juzi tu nimekumbuka wimbo wa super lovii, sikumbuki unaitwaje ila kuna maneno kama:

"..............nilete maji pipa tano kwa mikono kutoka mtoni, fikiri nitaweza vipi...."

halafu wanaitikia:

".......... Amina kipenzi changu mimi sitaweza, agizo la wazazi wako linaniwia vigumu........."

unaweza kuwa nao kwenye maktaba yako?

tafadhari sana mpendwa,

ubarikiwe sana
Glory to God!
 
Hivi bi Malika bado yupo hai? Aliyeimba wape vidonge vyao na sitaki sitaki. Nimekumbuka wimbo wa Mohd mrisho nyama ya Bata ni tamu, uliwika Sana enzi hizo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom