Maelfu wampokea Magufuli na kuhutubia Tunduma

Maelfu wampokea Magufuli na kuhutubia Tunduma

MwanaDiwani

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2013
Posts
5,536
Reaction score
2,268
Wakati akiongea leo na Wananchi wa Tunduma, Mhe. Magufuli asema atakuwa Rais wa Watanzania wote na kuwahakikishia maendeleo. Hatabagua chama, wanachama wa vyama na watanzania wengine kwa sababu maendeleo hayana makundi au mtazamo tofauti.

''Nitajenga Serikali yenye Umoja ili kuleta mabadiliko ya kweli'' Alisema

Amewashukuru wananchi kwa kujitokeza kwa wingi kumpokea na kusikiliza hotuba yake na kuwaahidi kazi tu kwa maendeleo ya wote kama watamchagua kuwa Rais wa Tanzania.
==============
VIDEO NA PICHA:


Sehemu ya Hotuba ya Magufuli.

11885249_828173283948374_5942557928947346987_n.jpg

11891104_828173363948366_6272877024115816622_n.jpg

11221659_749694455141987_3388676272926752583_n.jpg

Umati Mkubwa wa wananchi wa Tunduma ukimsikiliza Mgombea wa Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, John Magufuli
 
Last edited by a moderator:
Magufuli na wananchi wapenda maendeleo ya kweli tunasema, HapaKaziTu.

Umoja ni Ushindi

Sehemu ya hotuba ya Magufuli wakati akihutubia maelfu ya wananchi wa Sumbawanga jana

 
Last edited by a moderator:
Wanasikiliza yasyotekelezeka ,sio vibaya kukusanyika na kusikia maneno ya mwisho ya chama kinachokata roho.
Ndugu,
Umeelewa ulichokiandika?

Kama hii ndiyo dalili ya kukata roho, basi hii ni hatari sana!

Kila Uchaguzi Mkuu huwa tunasikia baadhi ya watu wakisema, CCM inakata roho.

Matamanio ni haki yako lakini kukipata kile unakitamani kitokee ni juhudi zako.
 
Daaaah, Tunduma yangu aiseee.!!

Kama kawaida, watu wameenda kuwachora tu, hakuna hamasa hakuna kijani..!! kumepooza kanakwamba watu wako msibani..!! Nasikia Magufuli badala ya kusalimia ccm hoyeeee... Akaishia kusema, Chadema hoyeeeeer...!!!

Miss you Ma all home land brothers and Sisters. Hiyo ndiyo Boarder Unaosha kichwa kisha tunakunyoa kwa kipande cha chupa..!!!

BACK TANGANYIKA
 
Anawaeleza wana Tunduma mambo ambayo chama chake kimeshindwa kuyafanya for over 50 years...maajabu ya dunia
Ndugu,
Maajabu ya dunia ni pale wanaosema wanataka kubadilisha mfumo wa nchi wakati mfumo wao ndani ya chama umemfanya hata Katibu Mkuu wa chama chao, Dk. Slaa kuukataa na kukaa pembeni.
 
Aminia CCM mnaondoshwa kama mlivyoondoshwa Pemba ,kwani ilikuwa hivyo hivyo wakifanya mikutano kiwanja kinajaa mwisho wa siku imepigwa na chini ,chezea pemba ,namba tunayoisoma ni sifuri :A S 41:
 
Jamani CCM waongo waongo sana kauli hizo in za Kutika mwaka 1961 ni miaka 54 msiwaamini wanafaidika viongozi Na familia zao wakina Ridhiwani.
 
wapendwa,

mbona wanaccm wachache hivyo??

Barikiweni sana

glory to god!

unamaanisha nini? Miaka 50 kwa umri. Tukae jamvini tunabishana na 4um kijana wa miezi 2 ktk siasa;

tuwie radhi.

Sisi , tunaingilia kukipotoka,

tunajua ; mlango wa pili wengi weni ni wajinga na malofa .
 
hahaha kuna hatari moja kuna watu wanakubarika kuna watu wanabahati na uongoz lets wait show
 
Daaaah, Tunduma yangu aiseee.!!

Kama kawaida, watu wameenda kwachora tu, hakuna hamasa hakuna kijani..!! kumepooza kanakwamba watu wako msibani..!! Nasikia Magifulu badala ya kusalimia ccm hoyeeee... Akaishia kusema, Chadema hoyeeeeer...!!!

Miss you Ma all home land brothers and Sisters. Hiyo ndiyo Boarder Unaosha kichwa kisha tunakunyoa kwa kipande cha chupa..!!!

BACK TANGANYIKA
Ndugu,
Kuongea sana tumewaachia nyingi mnaofahamu kuongea sana. Sisi #HapaKaziTu

Wananchi wako makini (focus/attention), wewe unataka hamasa. Toka lini hamasa ni kigezo cha kuwa makini?.

Ukimuona mtu ametulia katika hadhara lazima uelewe kinachofanyika pale kinamgusa sana kifikra. Hapo wananchi wanapokea hotuba ya Magufuli kwa makini.

Hamasa ziko kwenye kumbi za mziki na tamasha.
 
jamani ccm waongo waongo sana kauli hizo in za kutika mwaka 1961 ni miaka 54 msiwaamini wanafaidika viongozi na familia zao wakina ridhiwani.

wewe umevumbua nini; zaidi ya kutumia computer

ata duka huna na elimu yako ya chuo kikuu; jilinganishe na kijana wa kijijini ; mwenye duka na bodaboda


subiri tuapishe kazi tu

kama kipindi cha mwl

alhamisi- shule zote ni elimu ya kujitegemea - kufytua matofali, kulima bustani, chipukizi n.k

wanachuo- mnapelekwa kilombelo kulima- utachukuliwa picha na finger print

hatutaki nchi ya wavivu; kutukakana mitandaoni

2015- ni kazi tu-
 
Back
Top Bottom