Hawakupigwa picha? Hao waliofanya hivyo ni wahalifu pia, wanastahili adhabu ya kunyongwa, pengine jamaa hata sio mwizi alikuwa anawazungusha tu ku buy time ili aokolewe.
Please wekaAisee watu hawana huruma, kuna jamaa anayedaiwa mwizi wa bodaboda kachinjwa Mchana huu pale Moshi Bar karibu Mazizini Dsm, ni kwamba jamaa alikamatwa maeneo ya Kigogo na madereva bodaboda, akapakizwa pikipiki watu 3 ye kawekwa katikati kaambiwa aelezee pikipiki alizoiba kaziweka wapi, bodaboda wakawa wanaitana kila wanapowaona wenzao, Wakaenda Kinondoni hawakuona pikipiki, jamaa akawaambia zipo maeneo ya gongolamboto Moshi bar, Wakaenda walipoona jamaa anawasumbua Wakaamua Kumchinja, mchana Kweupe.... Police wa Stakishari wamekuja kuuchukua mwili wake wameenda Muhimbili...
Tuache Wizi Jamani.... Tuache Makundi.
Hawakupigwa picha? Hao waliofanya hivyo ni wahalifu pia, wanastahili adhabu ya kunyongwa, pengine jamaa hata sio mwizi alikuwa anawazungusha tu ku buy time ili aokolewe.
Nalaani walichokifanya bodaboda,ila hao bodaboda wanajifunza.........Polisi wetu wamekua wauaji wa raia mara kadhaa,na hatua zinazochukuliwa dhidi yao ni kama "0" tu.....Nao bodaboda wanapita mulemule.Lakini pia mchakato ungeenda mahakamani ungekua mrefu sana,jamani mahakama zetu si mnazijua?Mwisho wa siku hata kauli za viongozi zinachangia.Mnakumbuka kauli hizi.
1."Anayeua albino nae auawe"
2."Polisi waue tu majambazi"
3."Wapigwe tu,tushachoka"
Tusizichukulie powa hizi kauli,,,zinahamasisha sheria mkononi
kikwete alifanya kosa sana kuruhusu bodaboda.....

Ukumbuke aliahidi ajira milioni mojakikwete alifanya kosa sana kuruhusu bodaboda.....
Huo wote ni ukiukwaji wa sheria,sasa unapotokea bungeni si kazi kuwa applied uraiani,uvamizi kwenye vituo vya polisi kwa sasa umekua wa hali ya juu,polisi kutandikwa na raia ni jambo la kawaida sana,,,,lakini pia hata watawala wetu huchukua sheria mkononi na huwa hawafanywi kitu ili jamii ijifunze...TUREJEE YULE MZEE ALOMTWANGA RISASI DEREVA WA DALADALA BAGAMOYO ROADNi kweli mpendwa,
niongeze tu. kama bado mnakumbuka ukiukwaji wa waziwazi wa kanuni za bunge dhidi ya wapinzani wakati wa madam Makinda na Mr. Ndugai, wadau walikemea sana ila upande wa CCM walikuwa wakifurahi! hayo nayo yalikuwa ni matendo ya kujichukulia sheria mkononi!! naweza kusema kuwa pia yalihamasishwa matendo mengine ya kujichukulia sheria mkononi miongoni mwa wananchi.
RIP marehemu na pole nyingi kwa wafiwa
mbarikiwe sana wapendwa.
Golry to God!
kuna kijana kamaliza diploma ya usafirirshaji NIT nasikia ameuawa huko kivule kwa tetesi hizi hizi za wizi wa boda boda sijui ndie huyu?
Na tuache kujichukulia sheria mkononi.Kura moja hiyo imepotea
Duh! Labda ajira,labda tabia,labda makundi! Mmmh ila hii ya kuchinjana hapana asee!!
bodaboda inabidi wadhibitiwe kama kila mtu anajichukulia sheria mkononi hiiitakuwa sio nchi bahati mbaya wanasiasa wanawatumia kama mtaji wao kisiasa
Ni kweli mpendwa,