Hivi Nyie wanaume Kwanini mnapenda kushika simu zetu lkn zenu ni mwiko yaan hamtaki kabsa mnakuwa na shida gani?
Na je ni sahihi kupekuana simu mkiwa kwenye mahusiano?
Usikate tamaa kwenye maisha hata kama unapitia magumu kiasi gani, simama tena jikaze na songambele, usiogope kuanza upya haya matatizo unayopitia leo ipo siku yatakuwa ni kama historia. Usimkufuru Mungu Bali ushukuru kwa kila unalopitia na jitahd kuwa imara na kukabiliana nayo nakutakia kila la...
Ndugu yang ajira huku mtaan ni ngumu yaan watu wapo miaka 6 mtaan Hakuna insh
Kwa kukushaur tu usitegemee 100%kwny kuajiriwa
Kaa jitafakar angalia namna ya kujiajir
Huku ukiwa unaomba kaz kwny sehem zngn ila usiweke matumain kwny kuajiriwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.