ms emmaa Senior Member Joined Jun 13, 2023 Posts 119 Reaction score 207 Oct 8, 2023 #1 Hivi Nyie wanaume Kwanini mnapenda kushika simu zetu lkn zenu ni mwiko yaan hamtaki kabsa mnakuwa na shida gani? Na je ni sahihi kupekuana simu mkiwa kwenye mahusiano?
Hivi Nyie wanaume Kwanini mnapenda kushika simu zetu lkn zenu ni mwiko yaan hamtaki kabsa mnakuwa na shida gani? Na je ni sahihi kupekuana simu mkiwa kwenye mahusiano?
YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,153 Reaction score 36,376 Nov 11, 2023 #2 Stupid
M Machaare JF-Expert Member Joined Aug 11, 2022 Posts 1,028 Reaction score 2,503 Nov 11, 2023 #3 Mwenzio kanywa sumu juzi kisa simu ya mme wake Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
tweenty4seven JF-Expert Member Joined Sep 21, 2013 Posts 15,895 Reaction score 19,770 Nov 12, 2023 #4 ms emmaa said: Hivi Nyie wanaume Kwanini mnapenda kushika simu zetu lkn zenu ni mwiko yaan hamtaki kabsa mnakuwa na shida gani? Na je ni sahihi kupekuana simu mkiwa kwenye mahusiano? Click to expand... Mimi sijawahi shika msimu ya wife wala michepuko yangu..huo mda sina
ms emmaa said: Hivi Nyie wanaume Kwanini mnapenda kushika simu zetu lkn zenu ni mwiko yaan hamtaki kabsa mnakuwa na shida gani? Na je ni sahihi kupekuana simu mkiwa kwenye mahusiano? Click to expand... Mimi sijawahi shika msimu ya wife wala michepuko yangu..huo mda sina
Queen Kan JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,302 Reaction score 9,101 Nov 12, 2023 #5 Hili somo naona limekua gumu mpaka watu wanauana