Recent content by Mrs Official

  1. Mrs Official

    JamiiForums Tanzania Makanisa ya kiroho mnatupeleka wapi?

    Nilidhani Mimi tu sikumuelewa!
  2. Mrs Official

    JamiiForums Tanzania Makanisa ya kiroho mnatupeleka wapi?

    Alaa...kumbe.!
  3. Mrs Official

    JamiiForums Tanzania Makanisa ya kiroho mnatupeleka wapi?

    Umetoka nyumbani unaamua kuingia kanisani japo kupunguza stress za ugumu wa maisha na matatizo mbalimbali lakini humo kanisani unakutana na michango isiyoisha tena kwa lazima. Nijuavyo mimi sadaka ni kile ambacho mtu amejaaliwa kukipata Sasa eti kuna makanisa mpaka wameweka viwango...
  4. Mrs Official

    JamiiForums Tanzania Ya RADA kujirudia tena! Usiri wa ununuzi ni wa nini?

    Tupigwe tu maana hakuna namna nyingine!
  5. Mrs Official

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli: Tv nyingi za kichogo zina ubora wa picha kushinda hata Flat screen

    Hizo milioni NNE kwa usawa huu si bora ninunue kagari hata kama kanafanana na ka Mr Bean
  6. Mrs Official

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Diamond Platnumz juu ya yanayoendelea unamaana gani?

    Atakayeelewa anitag
  7. Mrs Official

    JamiiForums Tanzania Sijawai muona beki tatu tasa

    Kwa hali hii ndio maana ndoa nyingi hazidumu.
  8. Mrs Official

    JamiiForums Tanzania Fridge inauzwa

    Vipi umeshauza?
  9. Mrs Official

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa kizazi hiki sehemu yao bora ya kujivunia katika miili yao ni msambwanda?

    Duh...! Hapa ngoja nipite kimya tu.
  10. Mrs Official

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashudia Morogoro sitasahau

    Mbona hii ya mwisho imekaa kaa kama kitimoto
  11. Mrs Official

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashudia Morogoro sitasahau

    Watu wamezoea wale mbwa koko wa uswahilini wanaokulaga mavi ya walevi
  12. Mrs Official

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashudia Morogoro sitasahau

    Dah..! Nilitegemea kukutana na koment kama hii..ukiangalia na hizo picha za passport size za hivo vijibwa yaani nimecheka mpaka bar nzima wananitazama[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  13. Mrs Official

    JamiiForums Tanzania Ukijaliwa kuwa msichana mzuri na mrembo usidhani kamwe utatetemesha kila mwanaume

    Pole kwa kutendwa...ntarudi baadae kukomenti
  14. Mrs Official

    JamiiForums Tanzania Kama ulishawahi kunywa chai ya kuunguza Sukari tukutane hapa

    Hiyo nimekunywa sana home miaka ya 1995/96
Back
Top Bottom