Ushamjua kuwa ni bondia na wewe pia fahari 2 hawakai zizi moja ukiona mwanamke wa kitz anampiga mme we jua mwanaume anatatizo hivyo jiangalie kwa upande wko km uko sawa basi kaa nae kiakili usiwe unajisahau la sivyo makofi ya uso yatakuua.
Swala dogo sn Mr Hedex, km kakushinda kwa dogo hilo ina maana yapo mengi ambayo hujayasema huwa mnashindwana, usilegeze uzi anabeep tu hy mfano we ni mshabiki wa yanga na mkeo ni simba mbona huwa ukifungwa anakucheka na wewe hujawai kumnyima unyumba?, kwenye unyumba hakuna baunsa labda km...
Siku zote fikra zilizo hai zitaendelea kuishi, tkt suala lolote lile ukijitambua umejiokoa wewe, jamii yko na Taifa kwa ujumla, huu utaratibu wa kugeukana watz na kuacha kweli na kutetea uovu tutaicha lini?, watu km kina mzee butiku wako wengi leo utawasikia hivi kesho vile tunakwenda wapi...
Kweli mtu ukikosa kazi unakalia unafika na umbeya, kwa hesabu yko ukijumlisha majimbo yote ya ukawa km ulivyoyaainisha ni 254 na nchi ina jumla ya majimbo zaidi ya 300 na zaidi huoni kuwa unatudsnganya?, kuweni wazalendo basi japo kidogo hata kusema ukweli pia ni uzalendo.
Acheni uzushi jamani mbona mnakuwa wepesi wa kuhukumu toka jn niko Lujewa mbalali na leo asubuhi nimekuja mbeya hicho kitu sijakiona hayo maandamano yko wapi?.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.