VITUO VYA Tv vyanunuliwa dhidi ya LOWASA

Hapo umenena.Mimi mwenyewe nimeshangaa Chanel ten ,TV one sijaona habari za ukawa.
 
Mchagueni lowassa.tutakutana hapa 2017 sitaki kusikia kelele wala manung'uniko shenzi nyie.
 
Tv za leo hazijaonyesha kabisa maandamano ya mafuriko mbeya, channel ten hawajaonyesha, clouds hawajaonyesha, ITV wameonyesha akiwa jukwaani tu. Tbc ambayo watu siku hizi hawaangalii sijui kama itakuwa imejaribu hata kujaribu tu. imeonekana wazi kuwa kuna njama zimefanyika kununua vyombo vya habari vizionyeshe mafuriko ili kuminya publicity ya Edo.

USHAURI KWA LOWASA: andaa timu yako kuanzia sasa, mikutano yako yooote na mafuriko yako yooote uwe unayarekodi halafu tutachanga hata hela kidogokidogo, hata wakisema turushe kwa mpesa, ili tununue vipindi maalumu kabisa kwaajili ya kuwaonyesha watz mafuriko na namna jamaa anavyokubalika. la sivyo, tukitegemea vyombo vya habari hivi bila hivyo anaweza akaja mwanaccm mmoja akaamua kuvinunua na mafuriko hayataonekana. unajua mafuriko yanapoonekana kuna faida kubwa sana kwa ukawa, inavuta watu wengi sana. hii ndio siasa. tutaandaa siku moja hata kama ni jumamosi tutanunua hata lisaa lizima kwenye tv za azam, itv, channel ten na clouds, tutawapa hela ili turushe kwa pamoja vipindi vinavyoonyesha mafuriko na watu wote wayaone. pia kabla ya kuyarusha, inabidi tuwatangazie watanzania kuwa siku fulani tv fulani itaonyesha mafuriko.

TUANZISHE KIPINDI MAALUMU KWA JINA LA'" SAA YA UKAWA NA LOWASA" Ambapo tutakuwa tunaonyesha namna kampeni zilivyofanyika na mafuriko yetu yataonyeshwa. tutaweza pia kwenda hadi kweye radio zote hapa tz ili wale watu wa vijijini ambao hawana tv wapate kumsikiliza Edo na ukawa na mwezi wa kumi tupate mafanikio ya ukombozi kwa tz. Mungu ibariki Tanzania.

NB; naomba mods msiondoe hii thread, kwasababu ccm ndio waliosababisha kutungwa kwa sheria inayotubana uhuru wa habari, ambayo inaanza kutumika mwezi ujao, inabidi wote tuungane kuisambaratisha ccm ili tupate ccm mpya na sheria za ajabuajabu zote zibadilishwe mara moja.
watakata umeme mkuu hiyo siku.
 
Wewe kweli nyumbu.umeambiwa ccm wana nyenzo na uwezo wa kushinda.tafakari sana kauli hii ya kuogofya achana na wingi wa watu mikutanoni
 
Kwani idadi ya watanzania ni ngapi Mbeya? Usizungumzie mafuriko tupe idadi ya sidhani kama walifika hata elfu ishirini
 
Hatufanyi sensa hapa, sie tunatafuta kura na maana kuungwa mkono tayari imebaki kura tu..
 
Nimefurahishwa na wazo lako mtoa mada hii
you are very creative
ila ukweli ni kwamba ccm wamefikia ukingoni kabisa mwa utawala wa nchi hii kiburi kimewaponza
nashindwa kuelewa kwanini wanamwachia nape aendelee kuharibu chama chao.
 
Watu hawahitaji TV peke yake kupata habari.... Wengi wetu tunazipata humu JF kabla hata ya waandishi wa habari....
 
huku kwetu hakukuwa na umeme tanesco wananiudhi kweli. Hiki sio kipindi ambacho umeme ungepaswa kukosekana kabisa,
ni kipindi muhimu cha wananchi kuwasikiliza wagombea na kuamu kwa vizuri nani wampe kura,
lkn serikali yetu kila kitu kisuri wako kinyume nacho
 
Yan nyie ndo mumchangie lowasa....ww ukapimwe akil aisee
 
Yan mwaka huu ccm hata walete propaganda za aina gani, UKAWA lazima kushinda uchaguz mkuu October25.
 
Dalili za ushnd kwa UKAWA ni mwamko na utayari wa wapiga kura kote nchini. Haya matukio kadhaa ya publicity ni ishara ya haja ya mabadiliko waliyonayo wananchi wengi Tanzania nzima'. CCM wanajifanya hawasumbuki na kibali cha UKAWA lkn mioyoni mwao wanakubali kwamba mwaka huu mambo yanawawia magumu. October sio mbali, tumechoka kuburuzwa. Wkt wa neema ya mabadiliko ndo umeshafika.
 
Back
Top Bottom