Mimi na mpenzi wangu ni mabondia wa mapenzi

Mimi na mpenzi wangu ni mabondia wa mapenzi

hakyanani wiki mnadundana? had anaenda zinduka hosptal?
 
Ebo! Tunahangaika mabondia wa kupeleka jumuiya ya madola na nyie mpo tena wazuri tu kila daily mnapanda ulingoni na mshindi hapatikan mnafaa kuliwakilisha taifa
 
yani unaweza ukawa umekaa sebureni hapo labda mlipishana asubuhi ukashitukia kofi nzito usoni bila kutarajia unataka kumuuliza kunanini unashangaa lingine,,,,,wew hapo utavumilia?

hahaahahaha uyo demu ni chizi asee tena adabu hana kabisa,,mwambie ajirekebishe akishindwa achana nae,,ila nime imagin ulotandikwa kof la kushtukiza nimecheka sana japo sio mazur
 
Chunguza anatoka mkoa gani katk nchii hii. Kuna makabila mengine usipompiga maana take humpendi.
 
Ushamjua kuwa ni bondia na wewe pia fahari 2 hawakai zizi moja ukiona mwanamke wa kitz anampiga mme we jua mwanaume anatatizo hivyo jiangalie kwa upande wko km uko sawa basi kaa nae kiakili usiwe unajisahau la sivyo makofi ya uso yatakuua.
 
Mkuu mbona inaelekea we ndio huwa unachezea kichapo kwa shemeji kwa maana kama we ndio ungekuwa unampiga usingekuja kushtaki,by the way jaribu kutumia dushe vzur kumaliza hzo vurugu na shemejiiiiii.
 
mmwage ni mama yako tu ndo hutakuja kuachana nae.... na ukimwacha acha kimoja na wala usikumbuke DEFAO
 
Siku nyingine usikubali kupigana na mwanamke...ni udhaifu!
Kwa hiyo ukikutana na huyu hapa chini akaamua kuanza kukupa kichapo unatakiwa kumwangalia tu kwa kuwa ni mwanamke? Huu mfumo dume utakuja kuwakosti maisha, shauri yenu na mwenzio paulo

1.jpg
 
pole na acheni kuumizana. hapo unazidiwa nguvu ungekuwa unamdunda wewe siku zote ungejitapa humuuui, nnavyopendaga watu wanakidundana huwa mzuka unanipanda nashangiliaga kama mpira nataman nijue meeting point zenu
 
Fanya hvi ni Pm alf mm ntakuunganisha na wapiganaji wa mieleka naona nguvu mnazo mnashindwa kuztumia kupata hela mm ntakuwa meneja wenu..
 
yani unaweza ukawa umekaa sebureni hapo labda mlipishana asubuhi ukashitukia kofi nzito usoni bila kutarajia unataka kumuuliza kunanini unashangaa lingine,,,,,wew hapo utavumilia?

Mh! Sasa mkuu kwa hali hii unahisi hapo kwako ni mahali sahihi kwa huyo mkeo kuishi? mpeleke mirembe akapate tiba kwanza otherwise ipo siku atakutia roba hadi "kitu cha ngama" kitokelezee!
 
Habari zenu,

Nilikuwa naomba msaada wenu au ushauri wenu.

Nimekutana na mwanamke kwenye mahusiano yeye ana miaka 25 mimi nina miaka 27 ila hatujawahi kukaa hata wiki moja bila kudundana ngumi za ukweli.

Yani akikosea hataki kueleweshwa na hata kama nikikosea mimi yeye hataki kuniambia yani yeye ni ngumi tuu.Yani mkipishana kidogo mnashikana mnaanza kudundana sasa mimi nimefika stage nimechoka kupigana.

Maana siku za juzi juzi nilimpiga hadi kazindukia hospital sasa mimi tabia hii nimechoka.Maana nishamwambia tuachane yeye anadai ananipenda sana na hawezi kuachana na mimi kilahisi tuu.

Naombeni msaada wenu nifanyeje?Au nimkimbie nihame mkoa ? Msaada tafadhari.

Je ukimnanii anakuwaje? Labda hujitambui
 
Back
Top Bottom