Pole Mnyika, Ubungo inaenda kwa Masaburi!

masaburi hawez kutamba mbele ya Kubenea

huyo masabur akaendelee na kaz yake pale Tra
 
Last edited by a moderator:
Akiweza kunionesha stand ya mabasi makubwa ya mikoani baada ya kuvunja ile ya awali ntampa kura.Tumbo kuuuuuubwa kichwani empty
 
Asaidiwe maana hajitambui, eti nae ni mtz na waweza kuta yuko Dar km hata hajui Mnyika anagombea jimbo gani, aibu kweli ccm.............
 
Naona Ukawa wako kwenye mihemuko na kusherehekea mabilioni waliyohongwa huku wakisahau kuwa jimbo la Ubungo limeshapata muarubaini wa maendeleo ndugu Didas Masaburi.

Mnyika atatakiwa kukabidhi jimbo kwa Masaburi.
kubenea tumemweka makusudi ubungo ubungo ili kuzuia masaburi kumalizia mkakati wake wa kuuza kituo cha mabasi ya mikoani , na kutokana na jina lako sina hakika kama unajua mnyika anagombea kibamba baada ya jimbo la ubungo kugawanywa .
 
Ndo ubaya wa kukurupuka unaleta uzi hata hujuh unaongea nini.
 
Nyie mliopewa mabilioni...oh sorry kumbe mabilioni yaliishia kwa mwenyekiti.
baada ya kuridhika kwamba majina huumba , nachukua nafasi hii kutangaza kwamba kuanzia leo nimekudharau moja kwa moja hadi pale Mungu atakapokutwaa .
 
Naona Ukawa wako kwenye mihemuko na kusherehekea mabilioni waliyohongwa huku wakisahau kuwa jimbo la Ubungo limeshapata muarubaini wa maendeleo ndugu Didas Masaburi.

Mnyika atatakiwa kukabidhi jimbo kwa Masaburi.
Hebu tumia akili kidogo,Masaburi kafanya nini cha mno
mpaka umtishie jembe Mnyika?
Soma historia uone mzee Kenja aliyekuwa waziri na alilitumikia jiji,
unaona viwanja kama mnazi mmoja,na hospitali zote alizizungushia fensi
bado watu wakamuamini Mnyika akamkabidhi jimbo,sembuse masaburi?

Ulinza jirani yako akupe maana ya neno masaburi,afu tukutane kesho tujadili.
 
Mnyika kakimbia ubungo,asingepata ajenda ya maji ilimuangusha
 
Naona Ukawa wako kwenye mihemuko na kusherehekea mabilioni waliyohongwa huku wakisahau kuwa jimbo la Ubungo limeshapata muarubaini wa maendeleo ndugu Didas Masaburi.

Mnyika atatakiwa kukabidhi jimbo kwa Masaburi.

Mnyika hata akija apo jimboni kwako anapewa jimbo tena bila kupingwa...??
Ushawai kujiuliza kati ya Mnyika na Mkongwe Wasira na anahoja za msingi Bungeni...??
Jiulize ukipata jibu kaa tulia sindano ikuingie taratiiiiiiiibu
Useless
 
Tatizo IQ ya Teamdodoki iko chini sana hamuelewi kilichoandikwa.

Hoja ni pole kwa Mnyika kwa kupoteza jimbo
Mnyika bado hajapoteza jimbo ukiambiwa auna akili unalalamika mnyika bado ni mbunge wa ubungo na mgombea wa jimbo la kibamba gamba wewe kuwa na akili uchaguzi bado
 
Mnyika angefanya vizuri hapo ubungo Chadema ingeendelea kulishika jimbo hilo.
Ni lipi kubwa na la ajabu analoweza kujivunia hapo ubungo?
Jimbo limeenda Ccm asubuhi na mapema.Kubenea hawezi kuwa mbadala wa Mnyika kamwe!

Isitoshe ile ajenda ya chadema ya kupinga ufisadi haipo tena.

cc:wanafunzi wa chuo waliompigania mnyika mpaka usiku wa manane ili awe mbunge!
 
Ubungo ipo na itaendelea kuwa chini ya cdm,kwakuwa ccm sasa hivi inanuka kwa rushwa na wana ubungo tushaamua kuendelea kuiamini cdm na kura zetu zoote zinamwendea mh,kubenea
 
Muulize Nape kwa nini aliogopa kugombea kupitia Jimbo la Ubungo utajua mzee wake
 
Yupo
kichwa kubenea

unamlinganisha kubenea na magufuli?

Watch out guys

afu uelewe kuwa watu wamechoka
 
Mnyika angefanya vizuri hapo ubungo Chadema ingeendelea kulishika jimbo hilo.
Ni lipi kubwa na la ajabu analoweza kujivunia hapo ubungo?
Jimbo limeenda Ccm asubuhi na mapema.Kubenea hawezi kuwa mbadala wa Mnyika kamwe!

Isitoshe ile ajenda ya chadema ya kupinga ufisadi haipo tena.

cc:wanafunzi wa chuo waliompigania mnyika mpaka usiku wa manane ili awe mbunge!

Ndizi za kuiva zinakosa muuzaji songwe stand
 
Mnyika angefanya vizuri hapo ubungo Chadema ingeendelea kulishika jimbo hilo.
Ni lipi kubwa na la ajabu analoweza kujivunia hapo ubungo?
Jimbo limeenda Ccm asubuhi na mapema.Kubenea hawezi kuwa mbadala wa Mnyika kamwe!

Isitoshe ile ajenda ya chadema ya kupinga ufisadi haipo tena.

cc:wanafunzi wa chuo waliompigania mnyika mpaka usiku wa manane ili awe mbunge!

Nyambafuuuuuuu
 
Huyo si mchambuzi huru kwa kuwa ni kada wa CCM

Hawa ndio aina ya watu wanao ipigania ccm,kwanza woote hawana utimilifu wa akili na kujitambua kama huyu muuza ndizi wa songwe,namjua fiika
 
Ubungo ipo na itaendelea kuwa chini ya cdm,kwakuwa ccm sasa hivi inanuka kwa rushwa na wana ubungo tushaamua kuendelea kuiamini cdm na kura zetu zoote zinamwendea mh,kubenea
Mnyika ndio kainukisha rushwa??
Rushwa kubwa iliyosemwa ni pale stand ya Ubungo na muhusika ni yule babu yenu mkuu wa wachawi!!
 
Back
Top Bottom