Recent content by Mr Tyang

  1. Mr Tyang

    Mimi na mke wangu kiroho safi tunaenda kuachana rasmi

    Hivi kumbe siyo kila member wa JF ni GT, yani mwanaume na akili zako unaamua kuvunja ndoa kisa dini za watu weupe? Nakuhakikishia mtoa mada ukiendelea na akili hizo, leo utamuacha mkeo kisa dini, kesho utamkataa mtoto wako kisa kagoma kufuata dini yako.
  2. Mr Tyang

    DR CONGO: Chama Tawala chashinda Viti 66 kati ya 500 Bungeni

    Nchi inaingia kwenye uchaguzi mkuu na vyama zaidi ya 40 halafu unategemea itakuja kupata amani kweli? Tabu kweli kweli
  3. Mr Tyang

    Maandamano ya kuipinga serikali yapamba moto Telaviv

    "Jeshi la Israel linaweza kupigana vita zaidi ya kumi kwa wakati mmoja na zote likashinda maana Israel ni taifa tule la Mungu" Alisikika mlokole mmoja kutoka Namutumbo ndani ndani huko.
  4. Mr Tyang

    Kombe la Mapinduzi linaenda kupoteza hadhi na sifa ni bora yafutwe tu

    Sikujua kama kuna timu za mpira zinazojielewa bado zinalichukulia hili bonanza la mapinduzi serious kiasi hiki. Nawapongeza Yanga sc kwa kulifanya sehemu ya mazoezi na kutest uwezo wa wachezaji wa kikosi B&C.
  5. Mr Tyang

    Mrejesho wa miaka 10 ya msoto baada ya kuhitimu chuo kikuu

    LIFE BEGINS AT 40 kula maisha kijana ila usisahau ulipotoka
  6. Mr Tyang

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Japo licha ya mafuvu mengi ya pro-NATO kufunguka na kuelewa tulichokuwa tunakisema ila naona bado kuna baadhi ya pro-NATO kama kina T14 Armata mafuvu yao bado yana kutu yanahitaji kupigwa msasa tena ili waache kushangaa na kujiuliza kwanini Russia hajamiliki au kuweka "No fly zone" kwa anga zima...
  7. Mr Tyang

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hahah, Mkuu lee Vladimir cleef umenikumbusha enzi hizo tunafanya kazi kubwa ya kufungua mafuvu magumu na yenye kutu ya Wana pro-NATO/USA. Siku hizi nimekuwa mpenzi msomaji na mtazamaji wa mambo yanayoendelea kutokea leo tuliyoyasema mwanzoni mwa SMO, lilikuwa ni suala tu la muda Russia kuanza...
  8. Mr Tyang

    FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

    Kwa ubora huu wa kikosi cha yanga, timu nyingi sana za NPL mtazilaumu sana kila zitakapokuwa zinacheza na hiki kikosi. Wakianza Aziz KI, Max, Pacome na Mudathir huko mbele huwezi ukawa salama hata kidogo, wanashambulia Kwa hasira kama nyuki waliochokozwa
  9. Mr Tyang

    Waasi wa Yemen washambulia meli ya Marekani

    Red alarm ya Iran kwa marekani hiyo. USA inatakiwa tu ielewe kuwa mgogoro wa Russia-Ukraine umebadili sana hali ya ubabe wa USA duniani. Leo hii kikundi cha wana migambo kinashambulia meli ya USA bila uoga wowote aisee!! Acha mvua iendelee kunyesha tuendelee kuona panapovuja.
  10. Mr Tyang

    Huyu mwanamke anataka kuninyonya damu nife nikachomwe moto

    Mfanyie na kumpatia anachotaka halafu baada ya hapo muombe afanye unachotaka. Ikishindikana wote kupeana mnavyotaka basi achaneni tu, siyo kosa la jinai kuachana.
  11. Mr Tyang

    Mwanamke mzalishe kwanza utakua umewin mechi

    Mkuu hebu tu assume wewe ni miongoni mwa hao wazee wanaojitambua Swali; ndugu mzee unaejitambua kipi bora, binti yako kuolewa na kijana aliemzalishia nyumbani kwako au ubaki nae hapo nyumban kama single mother?
  12. Mr Tyang

    Kishika uchumba kimerudishwa

    Vijana kila siku tunawapatia ushauri wa kutatua shida ndogo ndogo kama hizo lakini hawasikii.. Nakumbushia tena; Ukiona mahari ni kubwa mpe mimba binti yao akishazaa nenda kajitambulishe uchukue mkeo na mtoto kwa bei rahisi kabisa tena hata kwa mkopo. Wakizingua waachie mwanao na mjukuu wao.
  13. Mr Tyang

    Uume kusimama legelege

    Kasome kitu kinaitwa "Use and Dis-use theory" utapata jibu
  14. Mr Tyang

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Uchambuzi sahihi kabisa. NATO ni muungano wa vi nchi vioga vioga duniani vilivyoamua kuungana ili kujilinda dhidi ya wanaume wa ki Soviet na bado vinapelea.
  15. Mr Tyang

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu hapo hakuna traitor wala ndugu yake traitor, Russia ina vichwa vyenye akili imeamua kucheza na akili za USA& NATO ili itimizie mission zake bila mabeberu ya west kushtukia. Kinachofanyika nikugawa majukumu mapya kwa wapiganaji wa wagner kwa mgongo wa adhabu za uasi, IPO HIVI KUHUSU...
Back
Top Bottom