Waasi wa Yemen washambulia meli ya Marekani

ze kokuyo

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
7,418
9,599
Meli ya kivita ya Marekani imefanikiwa kutungua makombora kadhaa yanayodaiwa kurushwa na waasi wa Houthi.
---

A US Navy warship operating in the Middle East intercepted multiple projectiles near the coast of Yemen on Thursday, two US officials told CNN.

One of the officials said the missiles were fired by Iranian-backed Houthi militants, who are engaged in an ongoing conflict in Yemen. Approximately 2-3 missiles were intercepted, according to the second official.

The officials said it was unclear what the missiles were targeting. It’s possible the missiles were fired at the USS Carney or launched towards another target.

The incident comes amid high concern about potential Iranian aggression as tensions in the Middle East continue to rise following the Hamas terror attack in Israel. Iran has long been a backer of Hamas.

The USS Carney transited through the Suez Canal into the Red Sea on Wednesday. US Fleet Forces command said in a social media post that it would “help ensure maritime security and stability in the Middle East.”

Source: CNN
 
This story is breaking and will be updated.

RELATED
US shoots down three one-way attack drones targeting US forces in Iraq within 24 ...
https://edition.cnn.com/2023/10/19/politics/us-navy-intercept-missiles-yemen/index.html
 
Red alarm ya Iran kwa marekani hiyo.

USA inatakiwa tu ielewe kuwa mgogoro wa Russia-Ukraine umebadili sana hali ya ubabe wa USA duniani. Leo hii kikundi cha wana migambo kinashambulia meli ya USA bila uoga wowote aisee!!

Acha mvua iendelee kunyesha tuendelee kuona panapovuja.
 
Update:

BREAKING: A U.S. Navy destroyer shot down multiple missiles launched by Houthis in Yemen, officials say. The missiles were not aimed at the ship.

The USS Carney (DDG-64) a Arleigh Burke-Class Destroyer with the U.S. Navy is reported to have Detected 3 Missiles heading Northward last night while in the Red Sea near the Coast of Yemen with all Missiles being Intercepted using RIM-66M Surface-to-Air Missiles; the Missiles are believed to have been launched towards Israel by the “Houthi” Terrorist Group in Yemen who only yesterday Declared their Intention to Join the War against Israel.
 
Red alarm ya Iran kwa marekani hiyo.

USA inatakiwa tu ielewe kuwa mgogoro wa Russia-Ukraine umebadili sana hali ya ubabe wa USA duniani. Leo hii kikundi cha wana migambo kinashambulia meli ya USA bila uoga wowote aisee!!

Acha mvua iendelee kunyesha tuendelee kuona panapovuja.
Iran mnaipaisha sana ilihali ikisimama head to head na North Korea pekee chini ya Kidukulilo inapasuka mapema sana tu.

Waarabu wa Matumbi tuna matatizo ya akili, chukua hii.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Anajilinda! Kwa kumsogelea adui karibu ili asiwe na madhara ya Moja kwa Moja kwa moja kwenye ardhi yake( Marekani). Ndo maana NATO wanaitaka Ukraine na Russia hataki kusikia hiyo habari ya kusogelewa na NATO mlangoni kwake.
Ndio mnavyojidanganya
Njia pekee yakuifanya marekani na miji mengine yote ya nato kua salama ikitokea vita baina yao na Russia wahakikishe Russia anakua mwanachama wa NATO
Laa sivyo hata tukijaalia kama ukraine ingekua mwnachama wa NATO sawa nitishio la wazi kwa Russia ila kikinuka basi ujue DC New York nk kote kutapigwa na kutachakaa
 
Back
Top Bottom