Maandamano ya kuipinga serikali yapamba moto Telaviv

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Aisee sikujua Netanyahu na utawala wa Israel unachukiwa hivi na wananchi wake

Maandamano kama haya yangetokea Tehran sahz humu JF kuna watu wangekua washajaza Server kwa thread zao!!

Israeli protesters closed a major street Saturday in #TelAviv to demand the resignation of Prime Minister #Netanyahu and the return of Israeli prisoners from the #Gaza Strip and permanent ceasefire

20240114_122935.jpg
 
Yule Netanyahu anaamini katika matumizi makubwa ya nguvu kuliko akili. Mwisho wa siku ndiyo huu sasa! Kuonekana kama kituko tu mbele ya Waisrael wenzake walio wengi.
Katika situation kama hiyo iliyotokea ungekuwa ww ndio Netanyau ungefanyaje?

Hao raia wa Israel ni wapumbavu sijawahi ona yaani nchi ipo vitani nyinyi huku mnaandamana kuvuruga utulivu, hiyo nafas yenyewe wanayopata ya kuandamani ni kwasababu ya IDF wanaopambana na kupoteza maisha Yao kwenye mipaka ya nchi, yangekuwa makombora yanarushwa na kuangukia kwenye makazi ya watu wangethubu kuandamana?
Na hao polisi wanaoruhusu hayo maandamano nchi ikiwa vitani ni wapuuzi.

Netanyau ashikirie hapo hapo hakuna kurudi nyuma maana Usalama wa majirani ndio Usalama wa Israel.
 
Wewe ni mjinga wahedi, watu wanafiwa na vipenzi wao wewe upo kokonko huko unashabikia vita
 
Katika situation kama hiyo iliyotokea ungekuwa ww ndio Netanyau ungefanyaje?

Hao raia wa Israel ni wapumbavu sijawahi ona yaani nchi ipo vitani nyinyi huku mnaandamana kuvuruga utulivu, hiyo nafas yenyewe wanayopata ya kuandamani ni kwasababu ya IDF wanaopambana na kupoteza maisha Yao kwenye mipaka ya nchi, yangekuwa makombora yanarushwa na kuangukia kwenye makazi ya watu wangethubu kuandamana?
Na hao polisi wanaoruhusu hayo maandamano nchi ikiwa vitani ni wapuuzi.

Netanyau ashikirie hapo hapo hakuna kurudi nyuma maana Usalama wa majirani ndio Usalama wa Israel.
Alitakiwa kujipanga kwanza kabla ya kukurupuka na kuwavamia hao Hamas ambao kimsingi wamejipanga vilivyo.
 
Katika situation kama hiyo iliyotokea ungekuwa ww ndio Netanyau ungefanyaje?

Hao raia wa Israel ni wapumbavu sijawahi ona yaani nchi ipo vitani nyinyi huku mnaandamana kuvuruga utulivu, hiyo nafas yenyewe wanayopata ya kuandamani ni kwasababu ya IDF wanaopambana na kupoteza maisha Yao kwenye mipaka ya nchi, yangekuwa makombora yanarushwa na kuangukia kwenye makazi ya watu wangethubu kuandamana?
Na hao polisi wanaoruhusu hayo maandamano nchi ikiwa vitani ni wapuuzi.

Netanyau ashikirie hapo hapo hakuna kurudi nyuma maana Usalama wa majirani ndio Usalama wa Israel.
Viongozi wa Israel ndiyo wanayoweka Hali ya Vita kwa kutaka kuwa tawala wapalestina, Yitzhak Rabin alitaka kulimaliza Hilo,siasa Kali wakamuua,walichotaka Hamas ni kubadilishana wafungwa, magerezani Israel kumejaa wapalestina 10000+ na kila mwaka wanakwapua vitoto mia vya kipalestina kuvipeleka gerezani
 
Katika nchi za kidemokrasia hiyo ni kawaida, hata kule USA waliandamana ili kupinga vita vya Iraq, inner circle ya nchi pamoja na Mossad ndo wanajua waingie vitani au wasiingize, tangia kwa Ben Gurion mpaka sasa hakuna waziri mkuu wa Israel ambaye ameruhusu Israel kuchezewa, ubabe wa Israel middle East ndio umesababisha Israel iendelee kusurvive, ingekuwa nchi dhaifu ingekuwa imeshapigwa vibaya sana.
 
Katika situation kama hiyo iliyotokea ungekuwa ww ndio Netanyau ungefanyaje?

Hao raia wa Israel ni wapumbavu sijawahi ona yaani nchi ipo vitani nyinyi huku mnaandamana kuvuruga utulivu, hiyo nafas yenyewe wanayopata ya kuandamani ni kwasababu ya IDF wanaopambana na kupoteza maisha Yao kwenye mipaka ya nchi, yangekuwa makombora yanarushwa na kuangukia kwenye makazi ya watu wangethubu kuandamana?
Na hao polisi wanaoruhusu hayo maandamano nchi ikiwa vitani ni wapuuzi.

Netanyau ashikirie hapo hapo hakuna kurudi nyuma maana Usalama wa majirani ndio Usalama wa Israel.
Unafikiri WANAOKUFA GAZA ni maroboti? Ni watoto, wajukuu, kaka, dada wa hao wanaoandamana, IDF wamepeleka hadi wanawake Gaza kama starehe za wanajeshi wao na wametekwa na Hamas wengi.
 
Katika nchi za kidemokrasia hiyo ni kawaida, hata kule USA waliandamana ili kupinga vita vya Iraq, inner circle ya nchi pamoja na Mossad ndo wanajua waingie vitani au wasiingize, tangia kwa Ben Gurion mpaka sasa hakuna waziri mkuu wa Israel ambaye ameruhusu Israel kuchezewa, ubabe wa Israel middle East ndio umesababisha Israel iendelee kusurvive, ingekuwa nchi dhaifu ingekuwa imeshapigwa vibaya sana.
Israel na Demokrasia wapi na wapi? Hapo atapita mtu na Gari watu wanaoandamana then awagonge kama kawaida yao. Hao huwa hawataki kusikiliza Alternative view point.
 
Yule Netanyahu anaamini katika matumizi makubwa ya nguvu kuliko akili. Mwisho wa siku ndiyo huu sasa! Kuonekana kama kituko tu mbele ya Waisrael wenzake walio wengi.
Baadhi ya Waisrael hawampendi Netanyahu ndio maana hakushinda uchaguzi uliopita. Hata hivyo, Waisraeili wengi wanakubaliana na hatua za nguvu dhidi ya adui za Waisraeili. Uzuri wa Israeli kama ilivyo Ulaya na America, wananchi wanaweza kuandamana kuipinga Serikali iliyopo kikubwa wasilete uharibifu. Kwa nchi kama Iran na Urusi kuandamana ni kujitafutia kifo.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Alidhani Hamas ni walewale wa manati na kombeo
Hamas hawajafanya jambo la kipekee. Netanyahu alijua aina ya vita tokea mwanzoni. Tofauti na wakati mwingine ambapo Israeli ilikuwa inafanya mashambulizi na kuondoka, kwa sasa walitaka kuwang'oa kabisa Hamas katika Ukanda wa Gaza, ndio maana Netanyahu alisema tokea mwanzo kuwa hii vita ni ngumu sana.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
"Jeshi la Israel linaweza kupigana vita zaidi ya kumi kwa wakati mmoja na zote likashinda maana Israel ni taifa tule la Mungu"

Alisikika mlokole mmoja kutoka Namutumbo ndani ndani huko.
Kalale mbele wewe ikiwa Hamasi mpaa kasaidiwa na nchi chungu nzima hivi nyie vichwani mpo sawa
 
Back
Top Bottom