Mwanamke mzalishe kwanza utakua umewin mechi

Mwanamke mzalishe kwanza utakua umewin mechi

Jamaaa ni ticha[emoji1]

Aliona maji marefu kukubaliwa kuoa toto la kishua la huko mbezi beach

Akapiga mimba

Dingilai akasanuka akamtumua dogo home.

Baadae akamsamehe kwa Sharti aoelewe na jamaa

Basi jamaa akachukua chombo kilaiiiini sana[emoji1]

Huu ndo ujumbe niliokua najitahidi kuufikisha, asante sana boss kwa kunisaidia kuwaelewesha [emoji122]
 
Ukiwa na pesa unapata mwanamke yoyote. Huhitaji kumzalisha kwanza
sema barmed yoyote sio mwanamke yoyote kuna wanawake hata uwe na pesa huwez wapata kama unabisha njoo huku kwetu, kwan unakutana na mwanamke mwenyewe gar tu anayotembelea unatulia sasa sijajua unampata kwa hela gan
 
Kitu bora kabisa amabacho baba anaweza kukifanya kwa wanae ni kuwachagulia mama aliyebora kwao.

Umaskini usimfanye mwanaume akaangaika na wanawake wakishua akiamini atatoboa maisha bila kujiridhisha kuwa anafaa.

Eti; utajisikiaje umepambana na kuhatarisha maisha yako kutafuta mafanikio kwenye maisha yako, halafu anakuja kijana anamrubuni binti yako amzalishe ili apate pakuponea?
 
Ukitokea kumpenda mwanamke yeyote ambae unaona ni v.i.p sana unahisi ukitaka kumuoa wazazi wake au yeye mwenyewe hawezi kukukubalia kirahisi bas mzalize kwanza ili ukija kuhutaj kumchukua ile simple kabisa, hautakutana na changamoto zozote kutoka kwake ama kwa wazazi wake, na watakukabizi mke kwa furaha na Amani yote.
Sasa mtu akiwa hakupendi hata ukimzalisha itasaidia nini?! Na kwanza atakuruhusu vipi umzalishe na hakupendi?! Anyways ushamzalisha na hakuwahi kua tayari umuoe huko ndani mtaishi vipi?! Si mtaviziana adi muuane sasa...!
 
Hiyo wala haifanyi kazi kwa wazee wanao jitambua
Mkuu hebu tu assume wewe ni miongoni mwa hao wazee wanaojitambua

Swali; ndugu mzee unaejitambua kipi bora, binti yako kuolewa na kijana aliemzalishia nyumbani kwako au ubaki nae hapo nyumban kama single mother?
 
Mwanamke anaejitambua huwezi mfanyia hivyo kwasababu kwanza sisi ndo tunaamua tubebe mimba au vipi Kuna njia nyingi sana za kuzuia mimba kama mtu hajataka kuzaa na wewe
 
Back
Top Bottom