Recent content by MR Trans

  1. MR Trans

    Ongezeko la watu kuhuhudhuria marathons imechochewa na nini?

    Picha kubwa ni Hamasa ya kujitoa kwa wengine na Uongezeko la matarajio ya kupata Connection.
  2. MR Trans

    Naweza kupata vibali vya Microfinance kwa mtaji wa Milioni 5?

    Jinsi nionavyo; vyema ukipata walau nafasi, si mbaya ukapata kupitia miongozo hii kutoka BOT! Kuhusiana sifa na mahitaji muhimu hili kupata kibali cha biashara ya ukopeshaji, kote kama ni kampuni au mtu binafsi. Kisha kutoka hapo, wataalamu wetu watakupa madini zaidi.
  3. MR Trans

    Chaneli gani DSTV zinaonesha mechi za AFCON 2024?

    Dstv kama unakifurushi cha chini kabisa, weka Etv no. 295 wako na Afcon live.
  4. MR Trans

    Postini motto ya shule uliyotoka tujue shule yako!

    "Education is living" / "Elimu ni uhai"
  5. MR Trans

    Waziri Bashungwa atoa maagizo kuhusu malalamiko ya wananchi katika stendi ya Magufuli Dar Es Salaam

    “Kuna abiria wanaoingia mkoa Dar es salaam na kushushwa katika stendi ya Magufuli lakini wanahitaji mabasi hayo yawafikishe mjini kwenye vituo vya mabasi vilivyojengwa na sekta binafsi, kwahiyo Mkuu wa Mkoa akikuta na wadau hao wataona namna nzuri ya kusimamia suala hilo” Hapa ndio kwenye shida...
  6. MR Trans

    Diamond Platnumz ajibu shutuma ya kudaiwa Wasafi ni wanyonyaji

    Yote kwa yote, haijalishi kama kuna unyonyaji au la! Kweli kabisa, hakuna kote duniani kuliko na uwekezaji kibiashara bila marejesho. Hapo kwenye mikataba mikataba, isijekuwa inakuja kwa Msuva style (lugha gongana) na upande wa pili kushindwa kuelewa takwa la kimkataba tangu awali.
  7. MR Trans

    Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

    Mkuu mfanyie ungwana, fanya uhide mobile number kwanza...
  8. MR Trans

    Hivi unaanzaje kuwashtaki Qnet?

    Chanzo kikubwa kinachopelekea hizi network marketing (Business) kuendelea kushamiri, kuleta sintofahamu na kurudisha nyuma harakati za ukombozi wa kiuchumi kwa wanajamii ni uelewa/ufahamu juu ya mfumo na namna ya uendeshaji wake. Twendeni na hii; kuna ule msemo usemao "Mjanja wa leo ni mjinga...
  9. MR Trans

    Nawezaje kubadili jina kwenye vyeti vyangu

    Mkuu kama watangulizi hapo walivyukuelekeza, pita kwa mwanasheria aliyekaribu na wewe atakutengenezea nyaraka ya kisheria (Deed poll) ambayo itaonyesha kuwa unatambulika kwa majina unayoyahitaji sasa na kuyakana yale ya zamani! Mara baada ya kukamilika itapaswa kusajiliwa kwa wizara ya ardhi...
  10. MR Trans

    Familia yangu imenigomea nisimuoe mpenzi wangu sababu wanahisi nitakuja kuteseka

    Logical kuna taswira yenye kuonyesha viashiria vya wazi kuwa mke mtarajiwa/ mchumba kuwa amefikia ukomo na kushindwa kumstahimili wifi yake, ambaye inaonekana kwa namna moja au nyingine alikuwa anamkwaza kwa muda mrefu sana. Kwa dhana hii ni wazi kuwa mchumba hakuwa na kusudio la kosa bali...
  11. MR Trans

    Wazoefu na wabobezi wa mabasi njia ya Dar-Iringa-Mbeya, ni mabasi gani mazuri na ya uhakika?

    Nimesikia mkuu, kama ukitaka kuwahi sana Iringa ni vyema ukipanda ya Mbeya! Sijuhi kama kuna ukweli juu ya hili?
  12. MR Trans

    Wazoefu na wabobezi wa mabasi njia ya Dar-Iringa-Mbeya, ni mabasi gani mazuri na ya uhakika?

    Happy nation kitambo sana nazionaga town, kumbe wako vyema.
  13. MR Trans

    Wazoefu na wabobezi wa mabasi njia ya Dar-Iringa-Mbeya, ni mabasi gani mazuri na ya uhakika?

    Hivi mkuu, kwa haya magari ya Mbeya kuna utaratibu gani juu ya nauli Kwa abiria wanaoshukia njiani kama Iringa? Je wanalipa nauli moja na wale wa Mbeya mkuu?
  14. MR Trans

    Wazoefu na wabobezi wa mabasi njia ya Dar-Iringa-Mbeya, ni mabasi gani mazuri na ya uhakika?

    Aiseeh, basi hawa jamaa wameamua kufanya kubwa kuliko.. Asante kwa kunijuza mkuu.
Back
Top Bottom