Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,664
- 22,256
Ruaha upande wa Iringa ukitokea Dar ni Mbuyuni yaani inayopakana na Moro, hivyo kuna upande wa Moro na upande wa Iringa; ndivyo nilivyomuelewa mimi. Ruaha ya Iringa inaweza kuwa Ipogolo kwenye mto.Mkuu kama hautojali, hebu tufafanulie Kwa faidi ya sisi wengi.