Wazoefu na wabobezi wa mabasi njia ya Dar-Iringa-Mbeya, ni mabasi gani mazuri na ya uhakika?

Babaaaa.
Kamata Sauli Mnyama mkali ya Tege boooooy chapu ipo Uyole pale.
DPK ana siku zake mzee wa ndugu abiria Waubani Waubani Linyama,akivurugwa anamwagika si kizembe,
Au kama vipi kula school buses za Imani,siku akiwa mwenyewe taita akivurugwa nyongo anamwagika shetani hataki mzee.
Kichovuchovu kamata AES ya abood,mzaha!!
,Uyole saa tano usiku fresh una drop pale

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Mkuu nimekupata vyemaaa kwa kwelii..
 
Hakuna basi linalotoka dar kwenda ruaha ya iringa(nikimaanisha ruaha mbuga) yapo mabasi yanayoishia iringa mjini, al saedy, delux nk
Mkuu vipi kuhusu Luwenzo na Sweet Africa, maana nimegusiwa juu ya hizo!!!
 
Al saedy,Sauli,newforce na Iman plus hutojutia.
NB kama unataka kuingia Mbeya kuanzia sa 4 usiku panda Majinja
 
Kama nauli ipo vizuri chukua sauli, imani plus, newforce, alsaedy... Kama nauli ya kuungaunga chukua za vunjabei majinjah, abood
 
Back
Top Bottom