Recent content by Mr Surplus Economy

  1. Mr Surplus Economy

    JamiiForums Tanzania Enyi wanawake acheni ligi na wanaume mtaumia

    Ni noma mzee shikilia hapo hapi
  2. Mr Surplus Economy

    JamiiForums Tanzania Naomba app nzuri ya kupakua movies tafadhali jina lake

    Mwamba unatishaaaa[emoji109][emoji109][emoji109]
  3. Mr Surplus Economy

    JamiiForums Tanzania Israel kuondoa baadhi ya vikosi vyake ukanda wa Gaza ili kulinda Uchumi wake

    After a massive destruction within Palestinians
  4. Mr Surplus Economy

    JamiiForums Tanzania Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

    Mjengo upi clouds au
  5. Mr Surplus Economy

    JamiiForums Tanzania Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

    Duh kumbe wameshaachana? Kweli ndoa za sikuiz maza fanta kabisa!!!
  6. Mr Surplus Economy

    JamiiForums Tanzania Picha: Waziri Mkuu Kassimu Majilwa akiwa na Paul Makonda mwenezi wa CCM taifa

    Huyu pm nae mtu wa ajabu sana manake amerusu yeye ageuzwe jalala... Hela kweli nzuri lakini ukijigeuza mtumwa wake utu wako unatoweka
  7. Mr Surplus Economy

    JamiiForums Tanzania Si sahihi kumpa maagizo Waziri Mkuu hadharani, si kila kiongozi anaweza kupewa maagizo hadharani

    Hii ni kweli kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. Mr Surplus Economy

    JamiiForums Tanzania Mbinu waliotumia kampuni ya Avis kutawala soko la magari ya kukodisha Marekani

    Walifanyaje sasa mbona kama uzi haujajitosheleza? Sawa umesema walitumia "Against Positioning" ila hujasema ilihusisha nini
  9. Mr Surplus Economy

    JamiiForums Tanzania Mnaanzisha vipi maongezi na pisi kali inayopita zake tu?

    Hiyo pekee ni courage tosha [emoji1787][emoji1787]... Siyo kila mtu ata afodi kujitoa
  10. Mr Surplus Economy

    JamiiForums Tanzania Mnaanzisha vipi maongezi na pisi kali inayopita zake tu?

    Hiyo ni simpo sana sema mara nyingi hamna formula ya moja kwa moja. Kikubwa ni wewe kwanza usiwe na aibu hafu kubali kuonekana chizi kwa muda yani mpaka pale atakapoingia kwenye angle zako.
  11. Mr Surplus Economy

    JamiiForums Tanzania Asali inahitajika

    Asali mbichi au
  12. Mr Surplus Economy

    JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha Muswada unaotaka wake wa Marais na Maspika wastaafu kulipwa kiinua mgongo

    Ningekuwa na uwezo ningegoma kuendelea kulipa kodi nchi hii. Ni kuwafaidisha watu tu [emoji20]
  13. Mr Surplus Economy

    JamiiForums Tanzania GUMZO: Al Ahly ageuka kibonde baada ya mechi na Simba

    Mimi ni shabiki wa wana lunyasi lakini naomba niseme kwamba mpira wa sasa umebadilika mkubwa sasahiv watu wanacheza kitu kinaitwa Economic Football kwa maana ya kuwa Kama uliangalia mechi vizuri kwa % kubwa sana National Ahly hawakuwa na presha sana ya mchezo sababu walikuwa wana uhakika kwamba...
Back
Top Bottom