Recent content by Mr. Somebody

  1. Mr. Somebody

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwa sivutiwi na mwanamke mwenye hizi tabia

    kabla ya kuoa /kuolewa chukua mida was kutosha kupima akili ya huyo anarkuita bebi au unayemwita bebi. .wapo hata wanaume wanaofata wanawake wenye pesa kwa swaga zote za kujifanya wanajua kupenda ili tu wapate kitonga flanii. .mfano .mama ake Na Diamond na yule jamaa 😄🤗🤗🤗ukinikoti mi simo...
  2. Mr. Somebody

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    naomba na wa upandewa pili ledisss museme ukweli na nyinyi mbona comment ni sese tuu. hau hamjawahi kuwatokea mabaharia kimasihara na wakajikuta wanaenda uvinza kuchimba chumvii
  3. Mr. Somebody

    JamiiForums Tanzania TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

    @HisExclFormlPresdent....pumzka kwa amani mzee wetu.hakika Kila nafsi itaonja mauti.tulikupenda ila Mungu kakupenda zaidi
  4. Mr. Somebody

    JamiiForums Tanzania Nipeni masaa saba tu niko ndani ya mnyama Ford Ranger (Mwanza - Dar)

    Umejitahidi .kaka kuigusa Moro nayo sio POWa
  5. Mr. Somebody

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi Bora?

    Kuwa na mwanaume mwenye hisia kwako ndio kitu bora . katika mahusiano hatutafuti tunaowapenda .tunatafuta wanaotupenda sisi .
  6. Mr. Somebody

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini sikupiga bao mapema?

    Nimekubali baharia. Show Kali
  7. Mr. Somebody

    JamiiForums Tanzania Hii Code kwanini isiwe vazi la taifa sioni Sana ikivaliwa ughaibuni

    Hii code tamu sana.Ila inavaliwa Maeneo mengi Afrika .hususan Rwanda hii ni Code wanaipenda pia..ila tukii promote sana inaeza kuwa yetu.
  8. Mr. Somebody

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume wengi wana lips nzuri kuliko wanawake?

    Inaeza ikawa kweli ..jambo zuri kuzingatia ni lips za kiume. Hazipigwi lipstiki wala lips wanja. Wala Nene yani. A man is a man and he is always smart and Natural.... .kuhusu kuwa na uwezo wa Kukiss ni jitihada binafsi za MTU. Ila kuna changamoto sometime pale mnapokutana Me .una ka mdomo na ke...
  9. Mr. Somebody

    JamiiForums Tanzania Mifupa kuungika kwa urahisi kwa tiba mbadala

    kisome bone centre
  10. Mr. Somebody

    JamiiForums Tanzania Mifupa kuungika kwa urahisi kwa tiba mbadala

    Write your reply...huyu yupo morogoro .ila anafanya kaz mikoa mbalimbali
  11. Mr. Somebody

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unatafuta mke njoo kwangu

    Au ni burudani....but unaonekana uko serious. Ngoja nije nichomoe betri
  12. Mr. Somebody

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unatafuta mke njoo kwangu

    U serious
  13. Mr. Somebody

    JamiiForums Tanzania Niko chini ya miguu yako muheshimiwa Raisi Magufuli tuondolee watanzania waliopo SA(tahadhari picha zinaogofya)

    Popote nchini mkisikia kuna msouth tafadhali nipeni taarifa (()) nimechoka huu ujinga wao
Back
Top Bottom