Mifupa kuungika kwa urahisi kwa Tiba mbadala

Mr. Somebody

Member
Joined
Sep 12, 2013
Messages
73
Points
95

Mr. Somebody

Member
Joined Sep 12, 2013
73 95
Hellow
Natumai kila Mwana Jamvi yuko poa.poa kiasi.au powa kiutu uzima. Leo nimejiskia niwashirikishe swala hili.

Katika jamii zetu kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na ajali nyingi.za vyombo vya moto hususani waendesha pikipiki wamekuwa wahanga wakubwa wa ajali na mivunjiko ya mifupa mbalimbali katika miili yao.

Tiba au matibabu ya mvunjiko wa mwili ni 1)upasuaji na kuwekewa vyuma kushikilia
2)kuvutwa (hospital method)
3)kuwekwa hogo (POP) inafahamika sana

Hii ni kwa ile mifupa ambayo licha ya kuvunjika bado inaweza kushikika vipande vyake na kurudishiwa .

Kuna mifupa inayovunjika vibaya kiasi cha kutoka had I nje ya nyama ya mwili.(hii ni kesi nyingine)
Nazungumzia mifupa itakayovunjika na kubaki ndani ya mwili.

Njia hizo juu zinapatikana hospitali hususani kubwa (referral) kulingana na ukubwa wa Tatizo.

Nimeleta Uzi huu kuwashauri .ikiwa umevunjika mguu,mkono, nyonga imetegeuka,taya limeteguka, pingili za uti wa mgongo zimeenda upande,

Jambo LA kwanza hakikisha unapiga mionzi (X ray) ili kujua mvunjiko wako umekaaje.
Jambo LA pili watafute wataalam wa Mifupa (Waungaji mbadala ) wanaofahamika sio akina mzee mkata umeme au mzee mwafa.wa kifaragua .au waganga wa kienyeji hapana.
Kuna watu ni professional trained katika mambo ya mifupa .anaweza akawa alikuwa ni mwanajeshi wa vitani akapata mafunzo na akafuzu akiwa jeshini au ni mtaalamu kupitia sehemu au taasisi flank

Vyuma au surgery kutibu fracture s sio ishu .na zina gharama kubwa na mwisho umuacha MTU na kovu .alama.au shape isiyo eleweka.

Kwa Mimi namfahamu Mtaalamu wa kuunga mifupa anayefanya kazi Tanzania nzima.na ambaye amethibitishwa na wizara ya Afya.

Nimeona wengi wakipona.na wengi wamesaidiwa . hospital ni pazuri lakini pana hitaji caution zake .
Ahsanteni
.ukipata tatizo LA kuvunjika kwanza
1)Mionzi
2)mawasiliano
3)chukua hatua
 

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Messages
8,363
Points
2,000

Mr Q

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2012
8,363 2,000
Pia kanda ya ziwa yupo bibi mmoja naweza kuwa shahidi hapa kawasaidia wengi. Kuna mtu alivunjikambavu kadha, taya ya kulia, na miguu hospital walimkataa ila baada ya miezi michache alisimama tena na sasa anachapa kazi kama kawa. Nilishangaa sana
 

Forum statistics

Threads 1,344,654
Members 515,967
Posts 32,830,969
Top