Recent content by mr smoke

  1. mr smoke

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Wanadamu nani ametupa haya mamlaka ya kuhukumu imani za watu??? Ingekua busara kuheshimu imani ya mtu na sio kutumia lugha za kejeli kiasi hiki.. Kama unaona dhehebu lako ndilo sahihi kuliko la mwingine ni vizuri kuwa kuheshimu wengine Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mr smoke

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Habari mkuu naomba kujua hiyo TCL32 smart ni model ipi??? Nataka iliyo na app ya roku kama ntapata...
  3. mr smoke

    World most famous people with their QUOTES from their great SPEECHES

    never told a soldier that he doesnt know the cost of the war-eyes in the sky movie
  4. mr smoke

    Rashid Makwiro (Chid Benz) hali yake ni tete kutokana na matumizi makubwa ya madawa ya kulevya

    serikali ikamate wauza unga maana hawa ndo wanaoharibu taifa la leo ba kesho hasa vijana this is why mataifa kama china wanaua wauza madawa ya kulevya kwa sababu ni bora kumwondoa mmoja anayesupply ambaye kumpata inawezekana kuliko kupoteza a lot of resource dealing with hawa watu wa mwisho
  5. mr smoke

    Jifunze kumuacha aende

    sidhani kama kila msichana/mvulana utakayekua naye kwenye mahusiano itakua ni kumwacha aende challenge zipo so ni kuzikabili "we dont run away from problem we face them and solve them"
  6. mr smoke

    Jifunze kumuacha aende

    love is just one big illusion as you try to forget ni ngumu kumuacha msichana /mvulana uliyempenda kwa dhati it takes time na wakati mwingine mtu unajipa moyo that maybe kama nikitia juhudi mambo yataenda vizuri
  7. mr smoke

    Basi la mwendokasi lapata ajali mbaya Magomeni Usalama

    Madereva wengi wa magari madogo hawajui sheria ndo chanzo cha leo japo mataa yalikua hayafanyi kazi lakini toka lini utafanya u_turn eneo kama lile??? Pale dereva wa brt alijitahidi kumkwepa ili kupungua athari ndo maana brt imegongwa ubavuni. Suala la upanawa barabara sio chanzo cha ajali ni...
  8. mr smoke

    Basi la mwendokasi lapata ajali mbaya Magomeni Usalama

    Mkuu umejua chanzo cha ajali??? Umefika eneo la tukio ukajionea???
  9. mr smoke

    Genuine leather culture shoes (viatu vya ngozi)

    mkuu mbona picha hazionekani
  10. mr smoke

    MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    naomba ntumie hapa joining instruction ya ndanda peterkimms@gmail.com
  11. mr smoke

    Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

    vyanzo vya mapato ya ziada ya january makamba bila kuzungumzia gesi huyu jamaa anafaa kuwa raisi
  12. mr smoke

    msaada

    habari wanajf wenzangu. naomba msaada jinsi ya kutuma nyimbo whattsup using i phone4 and 4s kwa sababu sijaona link ya kuupload audio files kwenye whattsup and is there any way that i can store the audio files niliZotumiwa kwenye whattsup kwenye itunes???au ntawezaje kuzistore na kuweZa kuzoplay...
  13. mr smoke

    RIP Mr Mtangoo

    kwa wale waliopitia elimu ya ufundi hasa katika taasisi ya technolojia ya dar es salaam(DIT) mtakua mnamkumbuka mwalimu huyu wa electronics mr Mtangoo ambaye kwa sasa hatunaye tena duniani. RIP mr Mtangoo tulikupenda ila mungu kakupenda zaidi
  14. mr smoke

    King'amuzi cha StarTimes kimepoteza channel naomba msaada

    Habari wana JF wenzangu, Naombeni msaada kwenye king'amuzi cha star times most of channel are not available even TBC na channel ten nnatumia antenna yao ya kawaida (yagi ulda) na nimelipia kifurushi still naona itv,star tv,eatv even tv1 haipo nipo maeneo ya mwika msae kilimanjaro.
Back
Top Bottom