Lipiza kwa mdogo wake dhen tafuta mwingine alafu huyo mwingine akikusaliti unalipiza kwa Dadake hivyo hivyo iwe ndo Swaga yako ktk mapenzi mpaka utakapokufa kwa ngoma. Badala Yakukaa chini nakufikiria kwanini unasalitiwa
haaaaaaaaa haa haaa. wasomi hawaendeshwi na hisia bali tafakuri udadisi na tathimini yakinifu :thumbup::thumbup::D
kama kaongea ujinga ya semwe kama ni mema ya dadisiwe na kutafutiwa ufumbuzi """""sio muenseshane kwa itikadi za vyama hapa .......IFIKE PAHALA TUWE REALISTICS atakaye fanya busara...
Tatizo la cc vijana hatupendi ambiwa ukweli ila tunapenda kusema yawa2 hivi nikweli NECTA ikitaka kupata takwimu kwa kutupia wanafunzi katika somo la Civics swali hivi "show major six problems of Dr slaa as a leader in Tz with vividly examples " inamaaana halita jibiwa kwa mifano kuntu DAIMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.