Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
miss neddy huko unakoenda ndio kanisani? Na huyo ndo dada?
hahahah ndio dada huyo ni joka la kibisa hilo
miss neddy umesema unaenda kanisani?
Dah baba kazidi police siangeomba aletewe Uji?
ha h aha ha a hah mke ndo zaidi loh ,...
mmmmmmmh!! watuuuu
ivi ni lini wanaumr tutakubali udhaifu kwetu? kwanini mwanamke kaonekana mmbaya zaidi ili hali wote wamefanya kosa?ebu tubadilike