Waifu kajanjaruka!!!

Waifu kajanjaruka!!!

Usimpe password wala username...kwasababu unaweza kuvuruga ndoa yako..pamoja na kwamba kuna ya kweli ushawahi post lakini pia kuna utani Kati ya waja jf..Sasa kila ukitaniwa utakuwa unaenda kumpa maelezo?...lakini poa kama kuna sehemu humtoshelezi jitahidi kubadirika pia...kashashtuka huyo...

kazi kweli kweli mkuu
 
We hauoni akimnyima password ndiyo nyumba itakuwa haina amani, yaani anaanzaje kumnyima? Wewe bwananaako akikuomba simu yako ya mkononi ghafla bina vu wakati unajua kuna kijimeseji cha mpango wa kando haujakifuta utafanya nini?...utamnyima?..Na unapomnyima utatoa excuse gani?!!!
 
Mh..namshukuru Mungu sinaga mpango wa kando ila kwa mazingira haya hasimpe...unajua huku jf kuna utani mwingi sana na huwezi kuzuia lakini mpango wa kando waweza kumzuia asitume sms..mkewe ajifunze kumwamini mmewe
 
Vibaya ivo mpe mwenzioo, usimnyimee mna share kitandaa nini username na password, ebu mpe usimkere...
 
Back
Top Bottom