Natafuta sehemu ya kujitolea upande wa Procurement au store

Natafuta sehemu ya kujitolea upande wa Procurement au store

Wewe unataka kila mtu awe Mwalimu?

mwache, hana upeo huyo anavutiwa na boom 100% wanalopewa walimu na ajira ya fastafasta, awatafute wanaotafuta kazi saiv baada ya miaka kadhaa tuone kama atapata tena ujasiri wa kutiririja hizo nonsens
 
Kwa hiyo profession yako jaribu kuomba msd (bohari ya madawa) waweza bahatisha

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
ndio yuko tayari, ila anataka ya kuripoti saa moja asubuhi na kurudi saa moja jioni hayuko tayari kulala au kuishi kwa mwajiri wake

Mwambie aongeze juhudi kwenye masuala ya networking...
80% ya ajira hazitangazwi...
 
Ni dada mwenye umri wa miaka 24 anatafuta sehemu ya kujitolea au tempo huku akiendelea kutafuta kazi maswala ya Procurement au store pia yuko tayari kwa ajira yoyote halali ni muhitimu wa mwaka 2013.

Msaidieni ndugu yangu, nasubiri PM zenu

Picha plz
 
kwa hiyo unataka kila mtu nnchi hii akasome ualimu? roten brain!!!!!. tatizo mawazo yako mafupi yanawaza milimita moja mbele,waambie hao uliowashauri wakasome ualimu kisa boom 100% na ajira ya fastafasta watafutane na hawa wa kozi nyingine baada ya miaka 10 utaona walivyopigwa gap. hujui mpaka leo easy come easy go! usikatishe watu tamaa na ufinyu wa mawazo yako usiejua uchumi wa nchi unaendeshwaje, we unawaza ualimu tu. beside! alifaulu vizuri form six ndo maana akachaguliwa kozi nyingine sio ualimu! mschiiiii!!!

Acha ukenge wewe na huyo aliyedai apewe kazi za ndani na degree yake namimi niliomshauri angesomea ualimu nani kazungumza point? nsyuuuu!!
 
kuna mshikaji alikuwa anahitaji mtu wa sales sijui kama nafasi hii itamfaa?
Vipi yuko tayali kufanya kazi Mikoani? i mean DODOMA?
 
kuna mshikaji alikuwa anahitaji mtu wa sales sijui kama nafasi hii itamfaa?
Vipi yuko tayali kufanya kazi Mikoani? i mean DODOMA?

kama ni dodoma itabidi iwe na maslahi maana ataingia gharama ya kupanga nyumba na chakula, tofauti akiwa hapa dar anatokea nyumbani
 
Hao ndugu zetu hata tukiwaeleza wasome coz za ualimu then hayo mambo mengne yafuate wanajifanya kujua sasa wanabaki kudharirishwa tu hapa jamii forum, sasa procurement na kazi za ndani wapi na wapxi?.Wenzake walimu post zishatoka wanaenda kujitafunia vipapatio vya kuku.
Good advice
 
Ni pm .. Kuna kazi hapa unaingia asubuhi unatoka jioni mshahara ni maelewano.
 
Back
Top Bottom